mluguru umenikumbusha kitu kidogo kuhusu hizi style ulipokuwa unamuelimisha yule himcelf anayesuka.simlaumu white nigga kwa kujistukia bali nataka kuuliza hivi sie tunafanya mambo kwa kuangalia asili yetu kwani huko bongo ukisuka,ukivaa hereni,cheni nyingi unaonekana muhuni,choko na majina mengine mengi tu
nikiangalia historia naona:
wamasai walikuwa wanasuka
wazee wakikurya wanatoboa masikio
wamakonde chale(tatoo)
sasa inakuwaje ukiyafanya hayo mambo unaonekana noma
waafrika tuna style?
Moderator:Juma4admin
sema kachala naona amani imerudi humu ndani basi kila mtu kapooza.
unajua hii babylon system haita toka kwenye damu yetu weka pembeni baba zetu walivyo wakoloni hata sie wenyewe majanki utakuta mtu anamtolea jicho mwenzake huku akishadadia ni mvuta ba**i kisa ameweka rasta.

sawa sawa kabisa.
Na sio kusuka tuu, mimi ninambonge wa afro, nilianza kuutunza tangu nina 15. basi siku moja mateacher wakanilia njuga wanataka niutembeze mbele nibaki na unga.
Mshikaji nikatia numu basi wakaja na mikasi, nikauvunja wa kwanza wakanipiga mkwara watanifukuza skuli, ikabidi ninyong'onyee.
Wakagonga msaraba bwana halafu wakaniacha niende nikajilipie kwa kinyozi.
Kesho yake nikarudi na msaraba kichwani, wakazani labda keshokutwa yake nitauondoa, basi mara mwezi mara wa pili mara afro likarudi sasa kilichonishangaza ni kwamba hawakusema lolote japo nywele hivi sasa ndio zilionekana za kihuni au kichaa wa kweli, sasa sijui ni kwamba hawakupendelea nikipendeza au vipi bwana mii hata sijui yaani [img]images/smiles/icon_confused.gif[/img] .
Lakini tangu siku hiyo nikagundua kumbe bwana hawa waliotangulia soi ndio kwamba ni wenye busara kuliko sie, upeo wao mdogo sana na hawajaendelea wanaishia kutuzibia tunaokuja.
Peace.

duh hiyo habari ya kupigwa mikasi sio mwenyewe ndugu yangu sio tulioenda shule za kiafande tumetaabika kwenye maswala hayo kinoma.
ukitaka kujua wabongo kazi yao kusimanga bila kuchunguza mambo,fikiria kuhusu kuwa iced out.utajipigilia macheni ya platinum kesho mbongo atasema umewageza wamarekani wanataka uvae shanga wakati anasahau hayo madini yanatokea huku kwetu yanakwenda kudesigniwa kiwanja sasa sijui hayo madini yanamilikiwa na wazungu.

i really cant believe mi eyes,asante kwa maoni yako lakini kwa kabisa hebu angalia kichwa cha habari kama kinaendana na mada uliyoleta humu ndani.
pili,muziki ni kama mtoto unakuwa kwa hiyo vuta subira bado mtoto anajifunza kutembea kuna siku ataanza kukimbia.
jaribu kukumbuka hao maproducer na wasanii hawanufaiki kwa sana wala nini kwa hiyo usitegemee tuwena studio kama master P.
halafu naomba unifafanulie ni jinsi gani wasanii wanatakiwa kuwa kwani hapo sijakuelewa kidogo.

-
- Member
- Posts:86
- Joined:Thu Mar 01, 2001 8:01 am
- Contact:
Washikaji acheni tu hizi issue si mchezo home Bongo bado kuna watu awajui mambo alafu ujifanyaga they know yaani hata washikaji wenyewe wanaanza oh jamaa hivi mara vile kisa una dreads,Braid au natural, ear ring au chochote watasema sana lakini its true they won't word up kwa wamasai au wagogo wengine sasa funny enough ukiwauliza pale ni wapi kituo cha mafuta hivyo watakwambia pale ni Shell ha ha ha - [img]images/smiles/icon_smile.gif[/img] Jamani shell ni kampuni sio petrol station zote shell kuna vitu vingi tu the same person anajifanya ukimuuliza hajui hata vya afya na historia sasa me sometimes naangaliaga na kuignore tu maana uwezi kuongea na mtu asiyejua kitu u see.Lakini me uwa niko kinda strong kwa vitu nikifanya na makini bila kumix na dini na nini maana unaweza ingia kanisani sasa wakati unaenda kwa sadaka (Bongo hapo)mijicho yoote kwako - [img]images/smiles/icon_sad.gif[/img] anyway lakini wananza kuelewa elewa hopefully nawataelewa tu hata kwa viboko aiight
Peace [img]images/smiles/icon_cool.gif[/img]
Peace [img]images/smiles/icon_cool.gif[/img]
Mimi ningefurahi zaidi nyie members mnaosema kutoboa masikio au kusuka ni utamaduni uliokuwepo pale Bongo ukifuatwa na Wamasai na Wakurya mngefanya kutokana na kuwaona watu wa makabila hayo na hivyo kuwaigiza. Tatizo ni kwamba asilimia kubwa ya Wabongo wanaosuka na kutoboa masikio wanafanya hivyo kwa kuigiza kutoka kwa Wamarekani na si Waluguru au Wamasai. Ingekuwa hiyo style haipo kwa Wamarekani kabisa bali wamasai na waluguru sidhani kama wengi wangeithamini na kuigiza lakini kwa sababu ni wamarekani wanaofanya hivyo basi ni kitu cha kuiga. Mimi siko hapa kumwambia mtu yeyote kwamba kutoboa masikio au kusuka si vizuri. Nadhani kila mtu ana maamuzi yake mwenyewe na staili yake mwenyewe ila kuwahusisha Wamasai na kuvaa kwako hereni hapo nadhani tunaongopeana.
-
- Information
-
Who is online
Users browsing this forum: No registered users and 6 guests