MISTARI....MISUMALI...KAMALI...

Moderator:Juma4admin

LAST DYTE
Member
Posts:242
Joined:Fri Jan 27, 2006 2:35 pm
Contact:

Wed Feb 15, 2006 3:19 pm

YEAH........

FEEL THIS.......

DA NAME OF MY ALBUM...

SASA KAA TAYARI/

AFU JIANDAE KUTAFAKARI/

ILA UWE UMESHAKULA UGALI MIXA KACHUMBARI/

SABABU HII MISTARI NI MIKALI KA UNAPIGILIWA MISUMALI/

SIO PATA POTEA KA KAMALI/

ILA HATUJARI HATA KAMA NI HALI YA HATARI/

NI SHWARI HATA KAMA TUMESHAAMBIWA TUJIHADHARI/

MI SIJALI NA BADO JABALI/

NAKUPA SIRI YA HALALI/

ASILI YA HATARI NDO SERA ZA SERIKALI/

POLISI,MAHAKAMA RUSHWA IMEKITHIRI/

NAFSI ZA WATU NDO ZINAZOJIRI/

JIAJIRI ILI USONGE SO KIKAFIRI/

KULA JANI KWA KUTANUA UBONGO AKILI/

USIDATE ESIJE FANANISHWA NA NDUMILAKUWILI/

MACHO MANNE -MACHO MAWILI/

DARUBINI YANGU INATAFTHIRI/

NI KUWA MAJASIRI/

NA KIAKILI TIMILI/

USITEMELELE UKAPOTEZA MPAKA KIWILIWILI/

MISTARI...MISUMARI....KAMALI....

KIBANO....MIFANO.....MICHANO.....

KAZI NGUMU.....POMBE KALI.....MADEDU WAZEE...

PEACE FOR TODAY...

AM OUT LIKE GUINNESS - STRONG MILK STOUT....

LAST DYTE.......
Depressado
Junior Member
Posts:16
Joined:Tue Jan 10, 2006 5:37 pm
Contact:

Wed Mar 01, 2006 2:04 pm

nini misumali mikali

hapa msoto niite jabali

naoana umaeamsha shari

unamulika na kibatali

kutaka kuupata ukweli

usije potea njia

kwa kutaka kujifanya wajua

sasa ndia naanza na giza limetanda

mimi mkwanza lishalia parapanda

nihukumu mwenyewe mwenyezi

si hawa binadamu washenzi

waliyostajabu ya mussa

jangwani wakamtupa

wakamkubali firauni

na macho zaidi ya mawili

kwa ajili ya umakini

maana lingine ni la tatu

nimekuja kuwaondoa upofu

tambaeni mbele wachovu

kokote nawafata kulia au kushoto

chochote napata iwe bia au msokoto

na dem wangu anapata joto

inueni mikono juu

mnipe saluti wenu mkuu

verse zangu changa

ndio zinazo wachabanga
LAST DYTE
Member
Posts:242
Joined:Fri Jan 27, 2006 2:35 pm
Contact:

Thu Mar 02, 2006 3:30 pm

OYA MZEE MZIMA NI MZEE MZIMA/

IWEJE UJITHARAU WAKATI UPO WIMA/

KILA ANAEONDOKA HUSINDIKIZWA KWA HESHIMA/

MAISHA NI SAFARI KUNA TAMBARALE NA MILIMA/

SASA HIVI NI KWA NINI/

AU NDO TUSEME MAJINI/

MTOTO UNAKUWA NA MOYO WA KUWINI/

LAKINI HUJIAMINI/

FIKIRI CHINICHINI/

UTAISHIA KABURINI/

WEKA VIPANDE HIVI VIJE KUKUSAIDIA MUDA ITAOPOTEZA IMANI/

MIILI TULIONAYO LEO,NDO MAFUVU YA KESHO/

MISTARI.....MISUMARI........KAMALI.........

KIBANO.....MICHANO.......MIFANO.........

KAZI NGUMU......POMBE KALI.........MADEMU WAZEEE......

K.K.HOLIDAY...........
showstopper
Junior Member
Posts:5
Joined:Sat Mar 11, 2006 10:05 pm
Contact:

Sun Mar 12, 2006 12:07 am

MISTARI AU MISUMARI/MI NILDHANI NI KABALI/KWA KUWA UMETANGAZA HATARI/USISAHAU POMBE KALI/TUENDAKO BARIDI NI KALI/NITAKUONESHA KWAMBA MIMI NI JABALI/MUULIZE NDUGU YAKO JAFARI/NILVYOKUTANA NAE KIGALI/NILIKUA PEKE YANGU NGANGARI/WATUTSI WALIPATA HOMA KALI/LUCKILY WAKANIPA SAFARI/OTHERWISE NINGEWACHINJILIA MBALI/

MISTARI NDIO MISUMARI/AHH MBONA SHWARI.
LAST DYTE
Member
Posts:242
Joined:Fri Jan 27, 2006 2:35 pm
Contact:

Tue Mar 14, 2006 1:39 pm

HIZI HISIA UKIZISOMA TU UTAFIKIRIA/

AU UKIPATA KUZISIKIA KWENYE SIKIO - KWA FALA ATAONA SIO/

ATAKIMBIA HUTAANGALIA HIYO NJIA/ LOO ISHAFIKA MWISHO/

ATAANZA LIA KWA KUFIKIRIA UHAI WAKO NDO HITIMISHO/

AFU DIZAINI ANAOGOPA KIFO/

BUT ANYWAY NI VIPOFU HATA KWA JICHO LA TATU/

AFU NDO WOKOVU HATA KAMA NI MAFYATU/

NI WAOVU KWA KIVULI CHA WOKOVU/

AFU BADO NI WAMOTO HATA KAMA WAMEKESHA KWENYE JOKOFU/

NI WAFU WALIO HAI KAMA MAFUVU/

HAWAPUMUI WANATUMIA MIRIJA KUNYONYA KIVURUGU/

MUONEKANO WAO NI WEMA/ WALIOBARIKIWA HAIBA YA BWANA ALISHASEMA/

NI WATWANA/WAUNGWANA/WALIOUNGAMANA NA AKILI YA KITUMWA/

WENYE KUIMBA NYIMBO & PAMBIO ZA KUMSIFU MUUMBA/

KWA KUWAPA NGUVU ZA KUTENDA ZAMBI /

WANAOPENDA CHAMBICHAMBI/

MSHIKO/GOTO/MKONG'OTO/

MSHIKO MIUJIZA/

SIJAMALIZA UKIWA NA SWALI ULIZA/

NAANZA NA KUWAKWAZA/

NAMALIZA…………….

A.K.A...

BRAIN SELECTOR/LIKE RZARECTOR/

DA SOUL WITH DIFFERENT FACTOR.........

LAST DYTE..............
showstopper
Junior Member
Posts:5
Joined:Sat Mar 11, 2006 10:05 pm
Contact:

Tue Mar 14, 2006 11:00 pm

ayo feel this,its not like i want to dis,

its just skills,that i know they miss,

NI KWELI UMENIFANYA NIFIKIRIE/MPAKA SASA SIJUI NINI NIKUAMBIE/

KAMA USINGENIKUTA NINGETAMANI NIKUKIMBIE/AHH,LAKINI POA TU WACHA NIKUSHINDILIE/KWANZA NINI KIMEKUFANYA HIP HOP UIKIMBILIE/UNGEBAKI KULE ILI WAJA WAKUSIMULIE/ANYWAY,KARIBU NJOO UTULIE/MIBEATS YA KUFA MTU UNATAKA UPAKULIWE/HAYA KAMATA MIC NJOO NIKUMIKSIE/KAMA UNAJARIBU NI BORA UNIAMBIE/KAZA BUTI AU UNATAKA HADHIRA JUKWAA WAKUSUSIE/NAONA UMELEGEA NITAKUJA NIKUPITIE/WANANIITA POPOBAWA NJOO HOME WAKUHADITHIE/NI SAA NANE USIKU MI NATAKA NIKIMBIE/MARA NITAKAPOAMKA NITAKAA NIKUMALIZIE/USIPOIPENDA NAOMBA UJE UNIAMBIE/TAFADHALI USINIBANIE/HATA KAMA TIGHT NAOMBA PIA UNISIMULIE/INABIDI NIKUAMBIE JINA SITOPENDA UULIZIE/NI SHOWSTOPPER AKA SNIPER LETE MCHEZO NIKUMIMINIE/NITAKAPOSTUKA UTAJUTA NINI KILIKUFANYA UNIIBIE/MISTARI NI MISUMARI ILA SITAKI WANISIFIE/NI MIMI NA WEWE MPAKA TRACK TUIACHIE/FANYA VIZURI ILI MAMA NYUMBA UMNUNULIE/HUTAKI DADA ZAKO WATANUE KAMA AMERIE/YO NAENDA KULALA MWENYEWE ATAKUJA ANIGUMIE/COMPUTER NAYO DILI HIYO INTERNET NDIO USIIPIMIE/FANYA UFANYAVYO ILA BINTI HUSUDA USIMUAMBIE/SI UNAJUA ANAVYOCHONGA ATAKUJA KILA MTU AMUAMBIE/NIMECHOKA KUAGA WACHA MI NIKIMBIE/PEACE,NICHECK KESHO ASUBUHI NIKUMALIZIE.
LAST DYTE
Member
Posts:242
Joined:Fri Jan 27, 2006 2:35 pm
Contact:

Wed Mar 15, 2006 3:22 pm

UNAAGA KINAGAUBAGA/

AU UNABWAGA MANYANGA/

BAYANA- MTOTO UNABANA AU UNACHANA/

SALMINI NDO SALAMA/SAWIA NDO SAWA/

HAKUNA PAGAWA TUNARUHUSU CHACHAWA/

HATA KAMA MKUBWA BASI WEE CHAWA/

CHAWAMA SI LAWAMA/NI UUGWANA KWA MAULANA/

AU SIO MZEEE/SIO NDO UJIMEGEEE/MPAKA UVIMBIWEEE/

USIPENDE KUWEWE - SEKA/KITITA KIMEKATA HUTAKI HENYEKA/

UKIFIKIRIA SANA UTAONA HAINA MAANA-WE UWEKE UTAPOTEANA/

MBELE KWA MBELE MISELE/ILA SI KICHELE UDAKE MCHELE/

KAMA NI DILI LA HATARI USIOGOPE UKWELE/

HATARI NI HATARI SIO KITU GANI/

NA HUU NDO MWANZO USIFIKIRI MWISHONI/

VINA VINATIRIRIKA MUDA HUU NI MOJAKWAMOJA TOKA UBONGONI/

SIO TANZANIA/NI KICHWANI STIMU NDO MAJANI/

SIO KWAMBA HATUJARI ILA NI WAZEE WA IMANI/

SIO KWAMBA HATUAMINI ILA TULISHATIA NIA TUTAWINI/

MAISHA HAYA USIDHANI TUNAYAGWAYA/

AU MAJUNGU YA LABDA NI KAYA/

UKOO AU MTAAA MI NAWAPIGA NDOO/

UKISHANGAA WE HAYA/NJOOO UVUNJWE TAYA/

NAKUPA SNADA KA NAKUZUGA TUUU NA SHADA/

JIBABA HALI INAKABA/NI MSALA TUNASUBIRI HALI MBADALA/

INSHALLAH SIO UNADHANI MASIHALA/ MACHIZI TUNAKOSA HATA VIPISI VYA SIGARA/

BASI NI MKWALA UCHWARA/VICHIRI VISHANIKORA/

AFU NDO MIKOSI KAMA UCHAFU KWENYE UKOSI/

VILEVILE MSTARI WA MBELE KAMA KIKOSI/

AFU HUWA SIJARI NITOKE VIPI KA BWANA MISOSI/

NACHARAZA KA USIA TOKA BARAZA/ VINA TIGHT NI KAZI NAKAZA/

PEACE MAN…….

BUT NOT LIKE DA SOUND OF DA POLICE……..

A.K.A……MALO --- NGW'ALU NGWALO…….
showstopper
Junior Member
Posts:5
Joined:Sat Mar 11, 2006 10:05 pm
Contact:

Thu Mar 16, 2006 9:05 pm

Chawa niliamua kuaga,sio kama nilichachawa/usingizi ulinikaba,nikahisi napagawa,asubuhi nilipoamka umeme hawakugawa,nikaamua nijichenge maskani kupagawa,nikishapiga mistari sifikirii miwaya,ganja haina virusi wala usiite malaya,haina gono wala kaswende wanaivuta hata ulaya,jina lako silijui umesema unaitwa mgaya,ningeomba unifahamishe ni wapi unapokaa,naweza fika kwa mguu au mpaka motokaa,ayo,a.a zinanishinda sasa ngoja nikupe u,nina shida ya kukuona naweza kuja usiku huu,au ndio umeshafanya misoo wamekuground mwezi huu,leo sijiskii vizuri ningependa kulala muda huu,kama utakua fresh kesho nifate huku juu,si unajua napokaa usije ukaenda east zoo,au ukajisahau ukamtafuta mr blu,nikiamua naondoka kama huamini sema suu,mistari ya leo sio mingi just because i feel blue,let me go get a bowl coz they are cooking up stew,nikishamaliza naenda kulala kwa sababu nahisi nina flu,

ayo ngoja niishie hapa screen yota imekua blu.

ya man,sorry about today i ain't feeling good,but surely i'll be ok tomorrow and i'll definetely hit u big.peace.......
LAST DYTE
Member
Posts:242
Joined:Fri Jan 27, 2006 2:35 pm
Contact:

Tue Mar 21, 2006 3:12 pm

NYANGEMA MWANANGU/

NUKTA MBILI UNAHEMA/AU USHAGEMA ULAKA/AFU TAYARI STIMU FWAA/

DUU MUDA HUU/NIKO JUU/YAANI STIMU ZA HALI YA JUU/

CHINICHINI MZEE KIMLIMA KA KICHUGUU/

NIGOZI TELI/SINA MNELI/AFU NATAKA NITOKE SHELI/

YOTE HERI?

UTU WEMA AU UTAPELI?

UMBEA/MAJUNGU/UNAFIKI AU KEJELI?

VICHEKO VYA KICHOKO/UNOKO/

CHACHARIKA WATOTO WANANG'ANG'ANIA UKOKO/

HUKO NDANI ULIKO/WANYAKI WANASEMA TULIPO/

UKAJAPO? WEE UMEKUWA POPO?

UNAUGEUZA USIKU KUWA MCHANA/

AFU UNAZUGA ANASAKA BUGANA/

USILETE SHOBO/UTAPIGWA KIBOO--RORONI MPAKA KOONI/

AFU UTADAI MWENYEWE NI LAINI ZAIDI YA KONI/

AFU NI NYEMBAMBA KA UCHOCHORONI/

INATELEZA KA POVU LA SABUNI/

WE ACHA HIZO MTOTO USILETE SHOMBOO/

UTATWIKWA MBOO/MPAKA UVIMBE KOOO/

OHOOO/USHINDWE ONGEA UBAKI INALIA OVYOO/

AU SIO MZEE ..................

MI NIKO GWEEE..........

USIWE NA MAWENGE...

NIKO BANGE......

I WILL BE BACK...

ON DA MIC....

BUT FOR TODAY

AM ASTRAY...

PEACE............
vinama'na
Member
Posts:158
Joined:Sun Jan 01, 2006 6:16 pm
Contact:

Sat Mar 25, 2006 10:08 am

ukanda wa GIZA,nawaza,

vipi wang UHURU ,wananitoza kodi!

ushuru kwa uhuru ,mwangaza unashade,

msururu mbongo na kaburu, vinavyokwaza manavinadi,

natafakuru,nifanye upi mradi,

NONO SHOBO shahidi,

zangu itikadi,zajinadi kwa kubwa grade!

radio zarusha upuzy

wanatosa uwazi,game kama hii sichezy,

bora ma homizy,nawavesha dalyz,

kimistali, tunasonga kizali,mwenyezi,

bariki MTAA PEACE!
Post Reply
  • Information
  • Who is online

    Users browsing this forum: No registered users and 1 guest