Wataka Kuwa Star??????? Nisome Kwanza

Moderator:Juma4admin

L.O - Skillz
Junior Member
Posts:4
Joined:Mon Nov 07, 2005 1:07 pm
Contact:

Wed Nov 30, 2005 8:24 am

Kuwaga star lifespan ni madakika /

Uwe na single moja au utoe ka sita /

Uwe centerfold kwa gazzetti ka tisa ata ikiwa kwenye telly na radio ushaskika /

Kabla uwake nare hauski ushazimwa waanza kuuliza niaje airtime inapimwa /

Ushajam....... Emotions zishapanda/

Ukaishika panga na kuact ka fala wa... fanya madamage MC on a rampage / Unawacha wadhii wakijifunga mabandage /

Sababu yako hauskizwi na masses hawakufanyi star n u cant handle it!!!! /

Sio personal mziki ni biashara badala ya kuflip hebu try kuwa mjanja /

Sahau FAME zifikirie gangi /

Hii ni industry USISLEKI FANYA KAZI!!!!!!! /
quertzal
Junior Member
Posts:49
Joined:Fri Feb 11, 2005 3:57 pm
Contact:

Wed Nov 30, 2005 11:40 am

KIPIMO CHA UJINGA NI MANENO UNAYOONGEA//

UZURI WA KUWA WINGA NI MIPIRA UNAYOITOKEA//

JISAHIHISHE KABLA YA KUFOKEWA//TUMIA AKILI HUSIJE ZOMEWA//

NAPAAZA SAUTI ILI KUKUEPUSHA NA MAUTI//MANENO NA MATENDO YASIWE TOFAUTI//NDANI YA HII FANI MZEE HUSIJE BAKI MAUTUTI//

UKIWA PLAYER LAZIMA UKUBALI VIBUTI//ILI UWE NGUZO MADHUBUTI TISHA MIAMBA KAMA BARUTI//MBONA UNAKURUPUKA/ UNAINGIA UKUMBINI UKIWA UMEVAA SHUKA//HIVI UMETULIA AU KICHWANI ZIMECHARUKA/MJOMBA TUNAZIBUA HATA KAMA KULISHA TANUKA/

KUWA STAR NDANI YA HIHOP SIO DAKIKA/ILA KUWA CHOKO USWAHILINI HATA SEKUNDE HAIWEZI FIKA//HAYA MAMBO YAITAJI AKILI ILI UPATE KUKUA KIMWILI/NA AMBAYE MTULIVU MSHIKA MOJA NA SI MAWILI :evil: / WEEEEEEEEEEEEEE CHUNGA SANAAAAAAA!!!!!!

WAPE HII SALAAM WENZIO! SAWA :twisted:
vinama'na
Member
Posts:158
Joined:Sun Jan 01, 2006 6:16 pm
Contact:

Sat Jan 07, 2006 5:38 pm

KKITI MILIKI KWA MIC,

UFITI SALUTI,SHABIKI 'TAKA REAL,

IMITATE KWENYE LAKO GATE,

USISET FOOT, KWENYE GAME TIGHT,

JUST ENJOY HOME U ROCK WI'DA BEST,

TOKA KWA VINAMA'NA HUU WAKATI,

NAKUCHEKI,

MPAKA UTROW AWAY,LAKO DAFTARI,

LA MISTALI FEKI,'TAKA FAME!HII SI,YAKO SEHEMU,

NIITE MWALIM,AKILI KALAM ,MHITIM,

UJIO SI WA KINAJIM,STAY CALM,KULA RHYME TAM ,

KAMA FIESTA KWANYE SUMMER TYM;

LAKINI CHUNGU KWA WAPUMBAVU KAMA SUMU

NON SHOBO CAMP SOULDIER
Post Reply
  • Information
  • Who is online

    Users browsing this forum: No registered users and 6 guests