ADILI NA WENZAKO ACHA KUIBA JINA LA WASHIKAJI "Wachapak

Moderator:Juma4admin

Mchapakazi
Member
Posts:86
Joined:Thu Mar 01, 2001 8:01 am
Contact:

Fri Sep 23, 2005 7:00 pm

Adili ambiwe aache kubit jina la washikaji "Wachapakazi" ushamba sio mwanahip hop jamaa wapo na wana track tatu so far huko bongo aache ujinga nipeni number yake nimpe vidonge vyake.

Peace outta

E-Attack

+31633694490
MBATIZAJI
Junior Member
Posts:1
Joined:Mon Oct 24, 2005 7:48 pm
Contact:

Mon Oct 24, 2005 8:25 pm

Oyaa mtani,jina kwani kitu gani mtani,kinachomatter kazi tu,ili mradi tuikubali kazi ya washkaji,me nadhani hiyo ni kitu ya kawaida kwa majina kuingiliana,cha msingi nani atalitambulisha na liote mizizi.

aminiaaaaaa...!!!!
Adil
Junior Member
Posts:10
Joined:Wed Nov 23, 2005 8:05 am
Contact:

Wed Nov 23, 2005 9:38 am

jina kitu gani, kwani jina la nani,

jina ni la nchi gani, jina maana yake nini,

jina limekupatia nini, limeonyesha nini,

jina limefanya nini,mbona imekuwa inshu fulani,

komaa fanya mambo fulani,

miundo mbinu yako ndio itakayo kuweka hewani,

mbona na mimi ni Adil, na yeye ni Adil,

jilani yangu fanya mambo ya kweli,

kwani wote wahangaika tuko safari,

wengine kwa miguu wengine kwa gari,

wengine kwa ndege wengine kwa meli,

lakini zote safari bora kheli,

Thug'z uwa hatuongei mara mbili,

ingawa thamani yetu ni ya kandambili,

God anabless na deile tunanawili,
headshigh
Junior Member
Posts:1
Joined:Fri Jul 12, 2002 9:01 am
Contact:

Mon Apr 17, 2006 12:12 am

Sometimes ina matter kutumia jina ya mwenzako hasa kama, mosi, unalijua jina lipo, na pili, kama unafahamu fika hilo jina lipo katika mji wako unapotoka, yaani hometown....sijui itakuwaje mtu akaibuka sasahivi na kujiita Professor J, au mchizi mox, tofauti na wale tunaowafahamu tutamwonaje au yeye professor J atajisikiaje.... Hip-hop inahusu ubunifu, uwezo wa kuunda kitu tofauti na wengine, wazungu wanaita creativity, kama ubunifu ni kushindwa kuwa hata na jina lako tena la kisanii la kujibatiza, hata mashairi tutakua na wasiwasi unatoa ama kwenye vitabu au unachukua ya washkaji....bila ruhusa yao.... :lol:
Mchapakazi
Member
Posts:86
Joined:Thu Mar 01, 2001 8:01 am
Contact:

Mon May 01, 2006 7:30 pm

mbona ujiiti sean Paul au 50 cent sikubalii hiyo acheni ujinga kila mtu naitaji identity yake well kaka yenu anakuja hapa nitamueleza.
Bantu
Junior Member
Posts:4
Joined:Thu Nov 23, 2006 10:24 am
Contact:

Thu Nov 23, 2006 10:55 am

Adil nijibu kama unanielewa!

"Jiz si jizi dakizi

dizain jizi kataliuga,

daluga dagada nabwaga,

dege, degedege...

O-Mob

Bantu nini!
quertzal
Junior Member
Posts:49
Joined:Fri Feb 11, 2005 3:57 pm
Contact:

Tue Jun 19, 2007 3:29 pm

Dogo wenzio huwa wana bit rhyme, na c majna hata kidogo ilo ufaham/

naona umecheza fyongo bila kuwa consult wataalam,kimbelembele utapigwa nyundo ya kichwa next tyme/:evil: unajaribu kupambana na chuma wakati ww ni udongo/ :lol:

kudadadeki umemchokoza mbogo, jangwani na moto wake c wa kitoto, mchimba chumvi wa gongolamboto/

nakuhifadhi kwa heshima ya Jay,na wala c mengine okay,najua bado dogo n u gotta long way 2 go,nway!!

kuwa makini njiani kuna nyangumi ilo baini,ww bado dagaa huna thamani hata ya kuwekwa rehani/ :o

najua na ninafaham kwamba waitaji kukua/na unatafuta njia za kupita tuweze kukutambua/

hata kama ni za panya u don care ilo 2nalitambua/lakini husije pima kifua pale penye mijivifua/

tutakukamua hataikibidi kukunyonya pua/ :evil:
Mchapakazi
Member
Posts:86
Joined:Thu Mar 01, 2001 8:01 am
Contact:

Sat Jun 23, 2007 5:15 pm

Wezi wa majina mpaka mashairi/

and that's why sio mahiri/

daily uswahili/ plus ujangili/

Watch ya ass sun sio deal/

mtoto wa shule ya upili/

na kitu ndefu kama mlima wa kili/

na ukiacha wazi sili/

maana ina uchungu kama pilipili/

sio siri/

majina mnaaiba bado kama wale wezi wa kiraka/

inacoz wenzenu kula chaka/

sasa faida gani mnapata/

kazi bado game bado/ mnajifanya maambasado/

kuna watu wako gado/ kama Rado/

weeeeeweee ni mwiziiii wa kazii zaaaa waatuuuuuuuu!!!!!! na idea za watuuu then u call ya self a rapper!!!!!!!!
Post Reply
  • Information
  • Who is online

    Users browsing this forum: No registered users and 1 guest