Free style hapa kama unaweza Strictly hip hop based lyricz

Moderator:Juma4admin

Mchapakazi
Member
Posts:86
Joined:Thu Mar 01, 2001 8:01 am
Contact:

Fri Aug 27, 2004 4:23 pm

Sema basi unataka nini/lakini usijibu maini/

Sitobaini/sitoaini/lakini kamwe, sitokuwa laini/

vipi niwe teja kama Maradona/? mrushaji kama Capadona/!

au mpenda ngono/kama Madonna/oh ma God am in luv wit Lonna/

Jibu basi mbona domo umeshona/

hakuna homa/ngoma/ wala kona/

comin' like pac/ begining a frontal attack/

hata kama utaki/ haki/ upati/

iwe kimara kino au masaki/

Vipi unataka kufree style? je umepiga mswaki/?

MATUSI hatutaki/ labda we game uipati/

unipati/ hata kwa vipimo vya DNA/

sipendi kebei/ bila zana sitembei/

msitu mbigili kibao/ kila siku watu bao/

ukimaliza tu watu hao/ wanataka mafao/ kama mazao/

F*** Defao/ ama zangu ama zao/

najua kila mtu atarhyme kikwao/

ila I miss my road Dawg/!!!!!

w h e r e r y o u ??????

Holla @ ya bwai
Knifebutcher
Member
Posts:112
Joined:Wed Nov 12, 2003 4:27 pm
Contact:

Fri Aug 27, 2004 5:01 pm

mchapakazi a.ka. mkuna nazi..unakuja moto baada ya kumaliza likizo ya uzazi//

hapa si lelemama dogo ni funga kazi..emcee naishi kinazinazi//

unaomba bifu na watu walioko juu wakati bado unapanda ngazi//

fala mwenzio mkurdi nishamfukia ndio maana kaacha upuuzi//

mchovu sikucheleweshi ndani ya anga umejileta//

we kinda bado govi kivina nakukeketa//

una ryme au unabwata..hapa utadata//

nina machale kama kama masta wa kichina usije kwa kunyata//

channel za hiphop zote nazikamata//

ukija mbio mbio unakula mtama na kugeuzwa mateka//

mtoto wa kiume noma kudeka..puta puta nakupeleka//

unaspit kwa nguvu zote lakini unachospit hakijaeleweka//
XPLO
Member
Posts:77
Joined:Thu Jul 22, 2004 10:22 pm
Contact:

Sat Aug 28, 2004 1:58 am

butcha si ni juzi tu kwenye hii site nilikupokea/

msuba nikakunyongea,skills nikakutupia na vina nikakutungia/

kila batto na ma mcee nikakutetea/

sasa waweza unga sentensi mbili na heshima unanishushia/

kilichobaki sasa ni laana kukumwagia/
Mchapakazi
Member
Posts:86
Joined:Thu Mar 01, 2001 8:01 am
Contact:

Mon Aug 30, 2004 9:10 am

Yeh Yoh, sioni Sosa,Ambax,hisabati,wala alcapaino ila watoto/

wameanziasha moto/sito zima na najua hawana goto/

nikitoa mkong'oto watajifanya wanapata msokoto/

hii si kitoto/

lazima mpate msoto/

najua browsing mpaka uombe hela/ mtakukera/

na sitoshusha hii bendera/

metaphor that my style kama ujui ndio maana wanya mapera/

hata kama sura mbaya kama lady Jd au Remmy ntakufisha shela/

najua huna skills wala hela/

ila tu mpelapela/kama umetoka kupitiwa jela/

I been there done that/ muulize gati au pati/

nikikuweka mtu kati/ walah hata moja point hupati/

nikianza hakuna kushika shati/coz I know chance yako ya manati/

plus hata yako hujui haki/

mshindia chapati/ kama mzee wa bati/

uwezi, unishiki, unipati/

I will ...in ya face like Shaq/

Where u from/ najua utataja mikoa ya ujiko wakati kwenu Dom/

usikatae mazee huko huko ndio home/

u got nah skillz kwanza bomu/
Knifebutcher
Member
Posts:112
Joined:Wed Nov 12, 2003 4:27 pm
Contact:

Mon Aug 30, 2004 11:29 am

Dogo mbona umewahi mapema mapema au ni stimu za bia//

wikiendi imekwisha kichwani hazitaki kutitia//

kama hao ndio maemcee unawahofia//

naona soo miguuni utanifia//

bora mapema ngazi ukaachia//

unarapu kwa kusita kama mwanachia//

masela uliowataja wote wamenikimbia//

nikishikika kipaza jua nimeshika jambia//

nakamata bunduki ya ryme risasi nakurushia//

nammind bifu unavyoichochea//

kutoka kwenye 1000 tera brain live nakunyea//

ukija kinyume nyume bila ajizi nakusea//
Knifebutcher
Member
Posts:112
Joined:Wed Nov 12, 2003 4:27 pm
Contact:

Mon Aug 30, 2004 4:03 pm

kinda naona unyago bado hujachezwa//

nashangaa unajibu kabla hujaulizwa//

ukija mkuku hapa utamezwa//

kama stiki ya ganja slowly unapulizwa//

we ni sawa na mamluki kwenye rapu umepenyezwa//

mbona husikii kila ukielezwa//

ishi kimachale kipaji cha k-butcha hakina mfano//

natawala cypher milele kifashisti imeindikwa kwenye agano//

ulidhani nitastuka ulipomtaja alcapaino//

kwani alcapaino ndio nani,nakwenda sambamba na Taffjam jino kwa jino//

hadi mkongwe amekiri akanipa tano//

muulize k-singo akueleze navyoisaga game kama ngano//
Mchapakazi
Member
Posts:86
Joined:Thu Mar 01, 2001 8:01 am
Contact:

Mon Aug 30, 2004 4:29 pm

Uliowataja wako invisible au...wamefia/

kijana unaskia/ we r here for really game kama una hamu ntapitia/

najua hata kama uoni utasikia/

umm najua unaibia/ kama kawaida kupiga zangu mbili tatu bia/

dogo utaumia/ utakimbia/sipendi kuona ukifyata mkia/

wenzio kila kona waliadhithia/

ninapo fani ni free flow na hip hop gear/

nilishakwambia/ naweza kukuita dia/

alafu sijui wapi utakimbilia/

we na hao,mi collabo na rakim/

acha urasimu/ au kama washamba wanavyomindi simu/

hii game muhimu/ lakini anagalia usije nikatisha stimu/

siogopi ila sio beef sana we r tryin' to see who got da...free flow/

achana na mabishoo/tumia kondom usione soo/

one two three to da four/

hakuna kidali poo/hii ni fani plus show/

bucha umeweka dawa nywele kama O ten/

alafu unasifia mademu..unaaribu ladha ya pen/

jamani acheni/ nguzo za hip hop mnapoteza/

naimba...alafu mnaita hip hop kumbe mnacheza/

kutwa kugeza/pumzi kibao mnameza/

wallah ukija katika anga with my...nakuteketeza/
Mchapakazi
Member
Posts:86
Joined:Thu Mar 01, 2001 8:01 am
Contact:

Mon Aug 30, 2004 6:50 pm

Lil Kidz I roll wit only few hun like Gloria Velez/

Najua unalazimisha uwezi/ If I ask u najua utasema unaumwa tezi/

Rip like nyenzi/ sibembelezi/ toka jua mpaka mbalamwezi/

Ushachokoza wakwezi/

Wee lazy/

Sisi wazee wa enzi/ naisi umekuja gawa penzi/

Check registation 03 Oh my God kinda unapiga makamasi ngumi/

Kinywa chakolaini kama lines za luni/

Umepoteza mwelekeo kama nyuni/

Ebu nenda saluni/ uwezi hata kubuni/

If u think ya gud am around waitin’ for ya son
Knifebutcher
Member
Posts:112
Joined:Wed Nov 12, 2003 4:27 pm
Contact:

Wed Sep 01, 2004 2:20 pm

kudadake..masela chekini navyomnyonga huyu kinda//

Nimekwambia toka usijifanye unadinda//

usifananishe wanajeshi na mgambo//

au unataka kujijafanya rambo//

ohooo shauri yako utavuliwa na chambo//

we bado kabwela...mi ndio masta wa acapella//

umejitela..lazima ubebwe kwenye machela//

unaryme kama mateja wa cocktela//

unalala katikati ya reli utakanyagwa na stimela//

huwezi nifikia nipo level moja na jigga wa rockafella//

naroga pande zote kwenye kikristu na kiswahili//

kipaza mdomoni mistari kichwani kamili kamili//

punch zinavyoshuka kinda huwezi zistahimili//

kwanza we emcii batili..kufreestaili hustahili//

upo kama mjusi kafiri..katuni tunakusitiri//

huu ubongo umejaza metaphorz utitiri//

nikikunja ndita..kushika kipaza unasita//

nafungulia nyuki huku beat ya ryme inakita//

hata uweke road block kama roketi mkuku napita//

naspit barz zinapenyeza mpaka kwenye medula oblongata//

kama computer program zinafanya manipulation za data//

sishindani na chekechea kwenye swahili batto//

tafuta makinda wenzio ustake njia za mkato//
Mchapakazi
Member
Posts:86
Joined:Thu Mar 01, 2001 8:01 am
Contact:

Thu Sep 02, 2004 12:04 pm

Nimerudi, nimerudi, nimerudi, lakini sio kama mox/

don compare me wit him labda kidogo na Eddy Cockz/

mbona umeenza sound kama brown fox/

IoI sasa naspit na beat box/

don aske me why kama...yule wa lox/

nakufananisha na Nyoshi/

hata kama unataka kimbilia lugha za watu/

hey son me mbantu/

nipo kote dogo sitoacha kiswahili katu/

nakumeza kama chatu/ nakuganyagia kama soli ya kiatu/

ingawa unajifanya fyatu/ eti unameza baratu/

wee mcheza upatu/

ujatulia mtoto... nyantu/

came wit hit track wajinga wakasema ni moob deep/

ndio nyie mnaita beep deep/ ha!

its morn ngoja nikurealease nikapate kidogo se....p/
Post Reply
  • Information
  • Who is online

    Users browsing this forum: No registered users and 2 guests