Infinite Cypha!

Moderator:Juma4admin

Emigee
Member
Posts:179
Joined:Thu Apr 24, 2008 3:42 pm
Contact:

Tue Jul 07, 2009 3:28 pm

[quote name="tha high priest"]

eyo emigee zidi kuangusha style sare/

tukiseti ma microfne kwenye nare/

[/quote]

wale ambao hawatu pati siwasare/

i got words flowing like the road to sirare/

i know the kids who failed Geography wonder where is sirare/

i cant stop writing and writing rhymes this is where i grew/

i am here to stay like the morning grass dew/

i set blaze on the mic, emcees cant even eat this even chew/

to me i feel more of a giant i work with the chosen few/

the high preist let set this our own feild i mean we are the few/

Coz, come back in this give your words for we miss ish/

i flex a muscle and an album is done, just like that/

call me the red sun, for i will step on it lean on it, jump on it/

just using my name on a rhyme is a punchline/

like paul ans silars i will set the jails loose, for i spit rhymes/

i dont just write but i am spirit filled, holiness in me./

incase there is a second chapter of the bible, i dont want to miss out/
vinama'na
Member
Posts:158
Joined:Sun Jan 01, 2006 6:16 pm
Contact:

Tue Jul 07, 2009 4:19 pm

[quote name="robary"]fungua macho witness wakipata zero

maisha ya kinyoga wanabees wa papa zero

wanavoipenda nero waburn hii nakuspit morrow

bila mabawa na wishes za kustay on air

kupagawa kishenzi na unafiki wa wambea

washazoea kudanganywa ka citizen wa taifa ninalotokea

city kwa oven ya ukabila wanyanyasaji wanafurahia

wasiojua ndo wajuzi hiphoppers kuangamia

misingi ikianguka paa ujue haliezi vumilia

maskwota wakiongezeka ka hila za wanasiasa

huku mwenyeji ni mgeni mzalendo hajulikani hasa

sijakataa ushrika na qatar

ila naona giza matokea mauti over kandahar[/quote]

yiya!imepaliliwa mbegu ya chuki

sio kama wanzuki kufunga na kamba

ambaa kabla ya wakati wa mswaki

dam imekua nyepesi kuliko maji

wauaji hadharini,sheria mafichoni

giza limepakwa weupe kama Europeans

tuone uovu almasi?

hakieleweki juu,chini hatuketi

ni WAKE UP show kama Lll'cissie na big!

ku TAKE UP koo kama mzazi!

kizazi kicfungwe hirizi

maradhi ya kupenda hadhi na upuuzi

daktari ana usingizi

EMCEE una kazi kama ya JEsus

usiwaache wadansi na kasi ya maasi
mizani
Member
Posts:76
Joined:Tue Sep 18, 2007 12:52 pm
Contact:

Wed Jul 08, 2009 12:04 pm

mwanangu inakuaje kimya kinamea mvi

dakika, noma zinasonga na hatujapona mchizi

naangaza ka real hiphop kwa kitaa kichaa

moyo ulisahau kuzubaa kujisahau natambua haijafaa

mwanaa, hizi cku ngumu ka kichwa kuota mikono sumu,

ka taa za hii kalcha tunatokea,tunatembea

vivuli yaani freestly vinawaponywa,nilionywa, mimi nani ka messia

pia iskarioti alizaliwa,washatibiwa ama ujinga ndo pain killer,kila mwananadamu mwishowe atarudi,so lazima niwarudi tusirudi ki burundi,watabwata wanatambua hizi level zinawasumbua ,hawa machizi watatusua ama bado watasuasua,

yamkini yah, tuwe makini,huu mtindo cjui upo huru,

ila natambua haunahukumu za karatasi kalamu

tamu tu ka ukweli,ungepewa zamu bro,michoro iliyo hai kubusu kila nyonyo tabasamu

ata baa nidhamu,asili ka sabasaba,uliza matiba, ambia mama kuna tiba ama sikiza wahome,itakuwaje wanafunzi wasigome?
Emigee
Member
Posts:179
Joined:Thu Apr 24, 2008 3:42 pm
Contact:

Wed Jul 22, 2009 12:54 pm

This to me is legen - dary, /

I know some may feel its elementary, /

you got to know it’s not that elementary,/

the guy with no high quality mind will not get it/

please believe when I say they won’t get it for this is more than music/

its more of some intense forensic/

without it I feel more of asthmatic /

I need some inhaler to cut the thing asthmatic/

I thank the Lord for the zeal and skill to write/

ever since I noticed to write I do it all the days of my life/

I was bitter but now the lord makes me better/

and I see it I am now all brighter the sun wants battle me/

I am intense from my words for I was here before Lil Whizy was born/

it feels like I don’t this before I am adored/

I love the Lord I do adore his greatness/

even in the cold night he gives me warmth/

and I will walk with my head high knowing that/

there s much more to this music/

it’s a gift, a way of expressing how much I feel/

I can for sure say it the games real/

so the high Priest keep the words flow./

Coz fill the space we miss you in this Cipher for it was your initiative and keep it alive…….
mizani
Member
Posts:76
Joined:Tue Sep 18, 2007 12:52 pm
Contact:

Tue Aug 04, 2009 1:37 pm

yela

tupo ingaa wanawish hatupo

kwa hii mitaa ka uchafu na harufu

kulost nadra ka kupata tui kwa dafu

vina si hafifu cheki makima sikuhizi wanajidai harifu

eti hawaogopi nyoka, na gamba tu wanashtuka

ka wanaogopa tope, si ndio shamba tumeibuka

pilka zinasononeka mtoto wa kiume ka mabov nitazishika

machizi hawatabiriki ka pogo mkwanja ukihesabika

nayoandika si mistari, kutambua wanatatizika

taa tunazizika ka sarowiwa giza haliezi badilika

mifupa inavunjwa nashukuru meno wima hayajangoka

nani wakuamini wengi cain na-amini

wanakumac nakuomba vipi utazuga ki mac muga.

shit
Couzifer
Posting Freak
Posts:1565
Joined:Thu Jul 26, 2007 1:54 pm
Contact:

Tue Aug 04, 2009 4:41 pm

eti machiiz hawatabiriki ka ....??!!
...ka Couz akispit poetry kunena na ma-ancestors

wote wana-turn kwa graves wana-cauz earthquakes

kisha wanaongea whispers zinazo-control the wind

hauwezi ku-translate bila ku-bruise hio mind

hata waliofilia kwa slave ships bahari iliwakataa

mifupa zao zili-break jaws za mapapa...Ah?!

lakini bado vichwa za African "chiefs" ziko ndani ya box

hata saddam anakula matunda eden na adam!

alaaaa...si pia eve' alikuwa ndiye first...

..."man-made" weapon of mass destruction!!!

hii ni cypha sio rhyme so brotha husini-critize

hizi akili bado zina-dwell in infinite dimensions

mawazo yakizidi fikra zina-cauz "head"on collisions

kichwa kilibaki wazi after "operations" ku-fail

ndio maana zangu akili hazina moderations ziko free

so niki-think "outside the box" msiseme eti niko nuts

nutty nilinyoa lakini bado na hizi mistari nawaonya

akili si nywele babu kipara lakini chumvi amezidi magadi

wahenga walipokosea yao misemo iliwapotosha wengi

........

Niaje machiiz wangu...it's been a while but I guess this will do for a comeback...
Couzifer
Posting Freak
Posts:1565
Joined:Thu Jul 26, 2007 1:54 pm
Contact:

Thu Aug 06, 2009 6:37 pm

...eeeeh! ndio nimerudi/

na tena sina budi.../

...kuwa-inflict ma wounds/

deeper than genocide kule burundi/

hata wakijikusanya vikundi/

sijali size ya army hizi rhymes zikiwa-wrap/

nawa-murder vi-silently husingoje ni rap/

hii Hiphop gospel washai-i-rape/

matunda waliyamanga kabla hayaja-ripe/

no-wonder ma-rhymes zao bado hazija-mature/

ziki-drop zina-decay zina-turn into manure/

then wana-sit back waki-wait eti zi-pay off/

FUCK EM' OFF/ sio show off nitawa-rip off/

nawaspitia kwa faces/ wana-burn nikiwa-"face off"/

...na ciphers zinazo-burn ka' hell's sulphur /

itabidi wame-quit kur-ap coz wanasound ka' ma-diva/

tena last time walipojidai ku-spit floor ili-soak saliva/

sitaki beef jus' tryna to keep goin' the cypha....
Emigee
Member
Posts:179
Joined:Thu Apr 24, 2008 3:42 pm
Contact:

Fri Aug 07, 2009 12:11 pm

eti machiiz hawatabiriki ka ....??!!
...ka Couz akispit poetry kunena na ma-ancestors

wote wana-turn kwa graves wana-cauz earthquakes

kisha wanaongea whispers zinazo-control the wind

hauwezi ku-translate bila ku-bruise hio mind

hata waliofilia kwa slave ships bahari iliwakataa

mifupa zao zili-break jaws za mapapa...Ah?!

lakini bado vichwa za African "chiefs" ziko ndani ya box

hata saddam anakula matunda eden na adam!

alaaaa...si pia eve' alikuwa ndiye first...

..."man-made" weapon of mass destruction!!!

hii ni cypha sio rhyme so brotha husini-critize

hizi akili bado zina-dwell in infinite dimensions

mawazo yakizidi fikra zina-cauz "head"on collisions

kichwa kilibaki wazi after "operations" ku-fail

ndio maana zangu akili hazina moderations ziko free

so niki-think "outside the box" msiseme eti niko nuts

nutty nilinyoa lakini bado na hizi mistari nawaonya

akili si nywele babu kipara lakini chumvi amezidi magadi

wahenga walipokosea yao misemo iliwapotosha wengi

........

Niaje machiiz wangu...it's been a while but I guess this will do for a comeback...
this more than a come back its a rebirth...keep this flowing day after day...
Emigee
Member
Posts:179
Joined:Thu Apr 24, 2008 3:42 pm
Contact:

Fri Aug 07, 2009 12:43 pm

I came back every year I get newer ,

I am dust from the moon, still treated like trash in the sewer,

I come back every year I get brighter

if you know hip hop is alive put up your lighter.

I come back year after year with new record joints keeping niggaz on toes,

if you feel my flow please buy the music.

I fall back to days in the past music was not what it is at this time,

hip hop is alive I will live to tell all.

I feel like I form base of Economy to this nation,

Just like Agriculture making pockets damn heavy,

With my rhymes I make your knowledge base heavy,

I speak what I feel I say it in black and white,

To me knowledge is power; this is some kind of intelligence,

Without this you’d sound or even looks dead.

I fall back on a beat I spit my rhymes I see some greatness,

I feel and I smell the greatness,

I know in this there are men who support like the high preist, cuz and Mizani,

if I dint mention you I got nothing wrong against you,

just know this is an inform of intelligence,

just like cuz I make the niggaz with weak rhymes, to turn to divas,

Before they know it they will not even be close to doing any rhymes.

They are more of rhyme inability Wannabees

Please the ones who fall in this category come for lessons.

I said before I flame thunder, I am a lab test sketched and invented

just to fit right to the lifestyle called Hip hop.
tha high priest
Member
Posts:135
Joined:Mon Jun 19, 2006 1:06 pm
Contact:

Fri Aug 07, 2009 6:20 pm

am not a trend follower

am a mic controller

fuk mass appeal

i kick real skills

with hip hop i blend

ma flow illuminate yo mind

spark like a nova

to phoneys its game over

ma tounge gat flows

that ressurect the buried hip hop

aint gat ice

but still i shine

ma ciphers divine

spit tha guillotine

leave fake styles beheaded
Post Reply
  • Information
  • Who is online

    Users browsing this forum: No registered users and 1 guest