[b]TZII HIPHOP KING?[/b]

Moderator:Juma4admin

vinama'na
Member
Posts:158
Joined:Sun Jan 01, 2006 6:16 pm
Contact:

Tue Mar 27, 2007 1:06 pm

ni nini unachoona kkuhusu JOHMAKINI kujiita

king wa bongo hiphop?anastahiri?
Mtaa
Junior Member
Posts:32
Joined:Fri Aug 18, 2006 5:09 pm
Contact:

Thu Mar 29, 2007 3:46 pm

Joh makini ni fala tu hana lolote jipya kwanza hana ata sifa ya kujiita king wa A-town kwa sababu ni mtoto mdogo

ameibuka juzi tu anaanza kuchonga.
vinama'na
Member
Posts:158
Joined:Sun Jan 01, 2006 6:16 pm
Contact:

Fri Mar 30, 2007 11:20 pm

ya man nimekupata sema umemjudge kwa

muda alio-po kwenye game na c vinginevyo

muda wa kuwepo kwenye gae co kipimo kinachojitosheleza

au sio vip kimashairi,styli,street capability,philosophy?

one..........................
Mtaa
Junior Member
Posts:32
Joined:Fri Aug 18, 2006 5:09 pm
Contact:

Tue Apr 03, 2007 4:12 pm

Oyoo nimekuelewa dunn kimtazamo wangu ni kwamba kwanza ni kosa kujivalisha crown huwezi kujiita king kwa hiyo amekosea for that halafu kuna vigezo ambavyo vinakufanya uitwe king joh makini hana ata kimoja sababu hakuna revolution aliyofanya zaidi ya kufuata system halafu inaonekana kama jamaa amekwama kiasi kwamba hawezi kuja na lipya zaidi ya kujisifu vilevile kimashairi jamaa anazidi kuwa mwepesi anachofanya ni kuiga idea za artists wa mbele ambazo haziendani na mazingira ya kibongo halafu sizani kama yule soro ni street so he is not a king he is a faggot queen.
vinama'na
Member
Posts:158
Joined:Sun Jan 01, 2006 6:16 pm
Contact:

Fri Apr 27, 2007 7:20 pm

sure kujiita king lazima kuna mapinduzi

umeyafannya mtu kama Mr2 anaweza kujivika

uking prof.jay aliipeleka game levo zingine

mpaka wezee wakaanza kupriciate

KIKOSI wameirudisha game mahali ilipo sasa

ambapo kila atokaye sa hivi anafanya HIPHOP

ata kama ni mamluki.

afu kuna ishu hii hapa ya ubongo flava na uhiphop

unaichukulieje?
nge
Junior Member
Posts:42
Joined:Fri Aug 16, 2002 11:18 am
Contact:

Sat Apr 28, 2007 7:24 pm

Ni kweli johmakini hastahili kuitwa king kwani hakuna jipya halolifanya kwenye game.Atabaki kama hiphop artist kiupande wa mashairi hana tofauti sana na Solo,zaharan au saigon wa zamani kwani saigon wa sasa kaisha.Ingawa hawezi kumfikia hashim dogo mi naamini bado ananafasi kama anahitaji kuitwa king.He need to do something 4 the Hiphop.

Kuhusu Ubongo wa flava kwa kweli mi naona umefikia ukingoni.Bongofleva imekufa na inazidi kudidimia siku hadi siku watu wanabaki na umaarufu mifukoni hakuna kitu.Walikuwa wanasema hiphop ni umaarufu lakini haiuziki na wao imewakuta sasa.

Nitakutolea mfano msanii Ali kiba inasemekana ndo yupo juu hivi sasa nyimbo yake inapigwa kila wakati kwenye radio lakini hadi sasa hajaperform tamasha lolote.Naamini pesa nyingi kwa wasanii wanapata kupitia matamasha na sio kwa kuuza tape na matamasha bongo ndo hamna siku hizi sasa sijui inakuwa vipi hapo.
Mtaa
Junior Member
Posts:32
Joined:Fri Aug 18, 2006 5:09 pm
Contact:

Wed May 09, 2007 9:39 pm

Offcourse nakubali joh makini bado ana chance ya kuweza kufanya vizuri zaidi kama ataacha kulewa sifa plus kimtazamo jinsi nnavyoichukulia hip hop kwamba ni zaidi ya mziki yani ni life na utamaduni wa watu fulani kwa maana hiyo ina characteristics zote kuanzia mavazi, tabia mpaka lifestyle kwa hiyo msanii kutoa nyimbo inayodiss bongoflava haitoshi kumnfanya yeye kuwa mwanahiphop au kuiba mistari flani ya artist wa marekani there is more than that unatakiwa uwe in true to your self ndi maana nawakubali sana kikosi they are the reason why niggaz are screamin hip hop right now in TZ kwa hiyo mtu kama joh makini mi namuona kama mamluki anayejificha kwenye kivuli cha hip hop sijui wengine wanavyomchukulia na kuhusu bongo flava mazishi yake yatafanywa na TGP. one luv
LAST DYTE
Member
Posts:242
Joined:Fri Jan 27, 2006 2:35 pm
Contact:

Fri May 11, 2007 4:18 pm

fuk Joh hayuko Makini kama Fid Queen/

mamluki ndani ya fani anajielewa kiundani/

kwanza analewa kiwewe sifa za kujisifu mwenyewe/

pili lazima akili sio king anatafsiri verses kwa kiswahili/

tatu kuwa na rasta sio hiphop mbona wanafuga hadi mafyatu/

nne bado ni softi kimistari kila wakati anapobasti/

tano hana michano anamaseji za taarabu ya malumbano/

sita sitosita joh ni mtoto tu wa kupitapita mbele ya majita/

namaliza sio miujiza naangamiza vipande vyakuumiza/

kaa mbali na hili giza wewe joh makini ........
vinama'na
Member
Posts:158
Joined:Sun Jan 01, 2006 6:16 pm
Contact:

Sat May 12, 2007 5:48 pm

jamaaa anaonekana kibiashara sana..

hana mistali concious dyte

umegundua....analewa sifa anazojisifia ye mwenyewe

kimistali kwa FID hasogei kabisa

kanishangaza juz kat anadai katoa album afu ina nyimbo10!

uizi ambao wanafanya wasanii wengi wa bongo flava

mistali yake inaonyesha kama hajapitia lyf taf la kitaa

(ingawa historia yake siifaham)
bahati
Junior Member
Posts:9
Joined:Wed Aug 01, 2007 10:23 pm
Contact:

Wed Aug 01, 2007 10:37 pm

mitazamo ipo na inaruhusiwa.

nachokiona wengi walio comment ni kuwa wanamponda sana Joh nakuona kama

yuko chini flani. ni wachache walianzia juu tukumbuke..

but kuhusu kujiita king si dhani ka ni big issue, kama kuna mtu anapinga nae

aende studio akapime kugombania crown.

so far nani king wa game kibongo bongo asimame na aseme.

he got ballz bwana mi naamini, wanaobisha wapime, wako kimya tu.

kikosi cha mizinga hawana lolote sema wamekuja na style ya kuipinga bongo fleva kwa nguvu na kuwapinga wasanii wengine wengi tuu kuwa si wa-ukweli.

Hii ni ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya yao ili wakubalike.

Mwisho wa siku ni yale yale bongo fleva.

Kuwa na sauti ya ukali na mikwaruzo haifanyi mistari kuwa bora, hats huko mbele tunaona walio simama wakoje. Mistari kitu kingine jama sio mnamega kwa kuwa mnawafeel tu.

weka mawazo wazi then andika, usiwe biased.

Majigambo nji sehemu tu ya sanaa, huenda ni mlengo mchizi kajichagulia.

makelele na vitisho ni stayle ya jamaa wa block 41 ni style tu, lakini iko wazi kala pina hayuko tite..sijui kwanini Hashim dogo hafanyi muziki, he was tite.

kalapina tozi tu, mgumu anakula ice cream ice-cream parlour? check video yake
Post Reply
  • Information
  • Who is online

    Users browsing this forum: Google [Bot] and 3 guests