FreeStyLe !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Moderator:Juma4admin

LAST DYTE
Member
Posts:242
Joined:Fri Jan 27, 2006 2:35 pm
Contact:

Mon Mar 19, 2007 12:38 pm

SwaHiLi FReeSTYLE........

hili freestyle dhibitisha naflow kimahili

niko kamili idara zote hata kukuteka kiakili

nadondosha mashairi naimarika mc's wakweli

kaa tayari kabla kichwa sijakigawa na kiwiliwili

nazika kwa kaburi kama mc's analeta kiburi

kaa mbali na hapa usije ukaondoka na sifuri

huwezi fata hii levo utadata fasta kikafiri

naoneka jasiri kimashairi sio lazima kutuna msuli

kuelemea tabiri mie jabali nasepa ka madili

kisirisiri nalipuka katika lugha ya swahili

mc's hodari papo hapo wack wananiepuka kuliko shari

vina nawakaba kabali kaa mbali hii ni hatari

hali sio shwari wanapigwa bumbuwazi mie jasiri

nna skills zakufa mtu hapa lazima kukili

mistari ndio yangu game huwa nashinda kama kamali

hii ndio misumari namba mbili tulia kama kimwali

tafakari nafanya mapinduzi wewe baki na vitendawili

nawaacha mkifikiri huu mzuka tofauti na jedwali

hi staili yangu we changu ni kali ione pilipili

haribika akili kichwani huna deal umebaki limwili

PEACE

PAMOJA__UMOJA:
LAST DYTE
Member
Posts:242
Joined:Fri Jan 27, 2006 2:35 pm
Contact:

Tue Mar 20, 2007 11:29 am

aisee !! skuti ka msaliti budi kunyuti

hiki kina cha futi kwa mbali toa saluti…mikono ...juu

hewani ka parachuti hapa utageuzwa pusti

dyte niko madhubuti hisia za wana wa street

vina mtiti tofauti na kupati hisia mitaa ya kati

mitaa ya dusti huwezi sogea wewe zako baruti

hii ni new shit kwa mabinti wa bongofleva kaza buti

ka goliati harakati za troglodyte kwenu kizingiti

varangati
kama nyati kabla hamjaitwa hayati

hili ndio kaburi la zenu maiti……………..
vinama'na
Member
Posts:158
Joined:Sun Jan 01, 2006 6:16 pm
Contact:

Fri Mar 23, 2007 10:12 pm

wa mbili cvai moja

mkongoja wa hekima wanilinda soja

pamoja,kichwa mbinu kama lahaja

haikamilishi kuona mapaja

haijalishi kama unakuja

ila ni nini unabwabwaja

serikalini wanafuja na muda hauwezi ngoja

wazuli kwa hoja kumpa maskini faraja

kama unabif na flani unataja moja kwa moja

ucwe kama siemens kutembea na chaja

mwana wa JAH wake mja nachuja kimwili

naongezeka akili mashairi kizan kandili
LAST DYTE
Member
Posts:242
Joined:Fri Jan 27, 2006 2:35 pm
Contact:

Fri Mar 30, 2007 5:06 pm

afrika nzima kama kwame nkrumah heshima/

nasema maneno utu wema jua kuzama mapema

kabla ya mchana_ simama! giza geuka uhasama

tukuka! uteta wa ndama mwanana vina kupima

hujuma vita soja mbele tuma au dele kutorudi nyuma

........................
vinama'na
Member
Posts:158
Joined:Sun Jan 01, 2006 6:16 pm
Contact:

Fri Apr 27, 2007 7:39 pm

bado misele mbele

ni vitendo bila kelelempaka kilele kimshale vile

mistali kengeleyawakusanya kwa vigelegele

mperampera unga tela
fela teka nyara fwere

ful c kingarangara bora dola

mkora wa pene teleduru mithiri guru hal;ahala

jirani japo nile

nge
Junior Member
Posts:42
Joined:Fri Aug 16, 2002 11:18 am
Contact:

Sat Apr 28, 2007 7:01 pm

ni vigumu kuamini,ukweli unabaki akilini

mnajijua hajijui,mi ndo jibu hanijui

kama nabii nakuja kama chocheo

okoleo kwa mafukara wenye vyeo

huzuni bado akitanda

msikitini makanisani wakisubiri parapanda
nge
Junior Member
Posts:42
Joined:Fri Aug 16, 2002 11:18 am
Contact:

Sun Apr 29, 2007 5:21 pm

popote napita

kwenye game nakita

nikiwacheki majita

naona wengi wananiita

nasonga nao kilomita

kumfuata barbarita

ghafla roho inasita

na moyo nao unatita

naona kama ni vita

vya tatu vya dunia,wanaokunywa damu

hawana tofauti na bia,wanasifia utamu

huku roho zao zinalia,naposema mwanadamu

ni pamoja na wewe pia.
LAST DYTE
Member
Posts:242
Joined:Fri Jan 27, 2006 2:35 pm
Contact:

Wed May 02, 2007 6:55 pm

msuba washwa tafuna mcz kuliko rushwa

sauti rusha laiti umauti na maisha ndo

tofauti kifo vusha vitisho kwa pusha

mamwela mabusha dili sababisha kwisha

kabisa kinasa juu Mwanawasa kiongozi

naasa angamizi sasa shambulizi upeo

mweo mwele luweluwe kivule mcz mlule

ndendeule msukule ............
vinama'na
Member
Posts:158
Joined:Sun Jan 01, 2006 6:16 pm
Contact:

Tue May 08, 2007 4:43 pm

toka mcngi vingi vigingi

nimevuka kasoro bangi

mdingi kwa jihad katoa shiling

cvungi niko varsity miaka mingi

leo wanadai nilipe wakipe cna hata kisepe

mwana wa mkulima maulana

kanibaliki akili sio mali

mkopo mwamvuli leo wanautia misumali

hali kali c nzuri niko kijiwe chali

kiwewe afadhari viongoz waso ona mbali

cfuri manguri wa rushwa viburi wa kutafakari

nna hasira kali na hii serikali sirikali

elim haki makali ya fee yanikata kuwili

WANABAHATI CMILIKI BUNDUKI
LAST DYTE
Member
Posts:242
Joined:Fri Jan 27, 2006 2:35 pm
Contact:

Sun Jun 10, 2007 6:58 pm

natoa vina ka moshi wa fegi mdomoni/

nameza mcs fasta kuliko pegi ya chasa kooni/

nini stimu? kwanini naendelae kutema madini?

yanadekisha ka kimpumu lakini bado nipo humu/

navusha kwa kasi risasi huwezi kimbiza ka unabusha/

naangusha!! sio samani ni madini yakusambaratisha/

kisha peruza si ajizi ona kama angamizi unaface jinamizi/

naskia na kuona mcs wengi vipofu nawameza kwa hofu/

hawa vipofu natapika wageuka wafu sa,nazika kiskills hafifu/

kidogo....... nakuja kuliko kigogo wa kisiasa hasira za mbogo/

kifreestyle ni kabali mcs nawatupia mbali yaani waone ajali...PeaCe..................
Post Reply
  • Information
  • Who is online

    Users browsing this forum: No registered users and 2 guests