X-plastaz

Moderator:Juma4admin

alhadji
Junior Member
Posts:6
Joined:Wed Feb 01, 2006 10:39 pm
Contact:

Tue Aug 15, 2006 4:00 pm

Jambo, habari? Y'all heard of X-plastaz? Is like this group and my gal gave me their cd and is like really good is like cooperation between Tanzania and Holland and is really great so was kinda wonderin if they were big in Africa as well? By the way are any of you guys livin in Belgium on this forum?

Grts

Koen
LAST DYTE
Member
Posts:242
Joined:Fri Jan 27, 2006 2:35 pm
Contact:

Wed Aug 16, 2006 9:34 am

faza nelly sio siri ulikuwa mcee wa kweli//

rest in peace man hiyo ndoo njia ya kweli sio kejeli//
[/size]
vuguvugu
Junior Member
Posts:7
Joined:Sat Jan 22, 2005 3:04 pm
Contact:

Thu Jun 21, 2007 7:11 pm

mungu mlaze mahali pema mbinguni mzee wa hisia kali

father aka nelly kweli hip\hapu aliijali

alidumisha upendo na amani .lala salama umetangulia mbele ya haki na adui bado tunamsaka..umetuacha makamanda
gun slinger
Junior Member
Posts:15
Joined:Fri Feb 13, 2009 4:51 pm
Contact:

Thu Feb 19, 2009 9:17 am

FAZA NELI ULIKUWA WA KIUKWELI.huyo kuma aliyekuua tukimshika tutamtomba mkundu halaf tumbanike kwenye moto.x-plastaz walikuwa wanaonyesha mamc njia,badala ya kuzubaa wachukue chapaa
Gwiji
Junior Member
Posts:17
Joined:Sat May 31, 2008 4:56 pm
Contact:

Sun Mar 29, 2009 3:29 pm

We miss you so much,since you pass away the crew (XPLASTAZ) is very quet

For me NINI DHAMBI KWA MWENYE DHIKI is my best HIP HOP TRACK

RIP NELLY
Juma4
Posting Freak
Posts:769
Joined:Fri Nov 03, 2000 8:01 am
Contact:

Sun Mar 29, 2009 5:26 pm

Nelly RIP - leo ni miaka 3 tangu alifariki dunia. Familia yake na marafiki wa karibu wamekusanya kaburini kwa kumbu kumbu.

Wadogo 2 katika group wametoka studioni kurekodi track 2 na FidQ... nyimbo zitatoka mda si mrefu.
Gwiji
Junior Member
Posts:17
Joined:Sat May 31, 2008 4:56 pm
Contact:

Mon Mar 30, 2009 12:15 pm

[quote name="Juma4"]Nelly RIP - leo ni miaka 3 tangu alifariki dunia. Familia yake na marafiki wa karibu wamekusanya kaburini kwa kumbu kumbu.

Wadogo 2 katika group wametoka studioni kurekodi track 2 na FidQ... nyimbo zitatoka mda si mrefu.[/quote]

Mi nashauri jamaa waandae tamasha la kumkumbuka Nelly itakapofika miaka 5 baada ya kifo chake
phatbeattz
Junior Member
Posts:29
Joined:Tue Mar 24, 2009 3:18 pm
Contact:

Tue May 05, 2009 6:52 pm

da Ninachokion ni Hiki

kwanza Napenda kusema Mungu amlaze mahali pema Faza Nelly, I will always Remember hiz rap in Bamiza track,

Mamcee wa tanzania ni wajinga na hawapendi kushirikiana, na wanapend kuvimba vichwa,wanaakili za kizamani sana,

Yaaani imekua kama utamaduni huku, People do not appreciate na wallla hawapendi kuandaa matamasha y kukumbuka michango ya watu wengine ktk game, walikuwepo akina D rob wanamchango pia But no body put an effort to remember them they just need money

Fuck em all

xplastaz do something on that

Please!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

One Love to fid q coz i hear He had recorded a track for fazza Nelly
Post Reply
  • Information
  • Who is online

    Users browsing this forum: No registered users and 1 guest