mademu zetu

Moderator:Juma4admin

sedon_jr
Junior Member
Posts:9
Joined:Fri Sep 06, 2002 1:42 pm
Contact:

Fri Sep 06, 2002 8:31 pm

Usikurupuke mzee kuweka mawazo yako online kabla hujayafanyia kazi.Eti ukimwi usingekuwepo kama kusingekuwa na nguo za kubana?Kwani ukimwi umeanza leo?

Na nani kakwambia wasichana wasiovaa nguo za kubana wako ugly?Nyie ndioo walewale.
Post Reply
  • Information
  • Who is online

    Users browsing this forum: No registered users and 3 guests