intro

Moderator:Juma4admin

nge
Junior Member
Posts:42
Joined:Fri Aug 16, 2002 11:18 am
Contact:

Thu Feb 23, 2006 9:32 am

naona dogo

mkia umekufyata

wenzio wananijua

kiasi gani nilivyodata

basi twende kimya kimya

naona umekuwa mdogo

ila usipojichunga

nitakuja zaidi ya mbogo

tena nitakuja

kama tumbo lenye njaa

lililokosa masikio

na ndani yake ni kilio

mi ndo shujaa niliyesahaulika

a.k.a nyota mpweke

ni sawa na fuko la hela

ambalo umelipiga teke
nge
Junior Member
Posts:42
Joined:Fri Aug 16, 2002 11:18 am
Contact:

Thu Feb 23, 2006 9:33 am

naona dogo

mkia umekufyata

wenzio wananijua

kiasi gani nilivyodata

basi twende kimya kimya

naona umekuwa mdogo

ila usipojichunga

nitakuja zaidi ya mbogo

tena nitakuja

kama tumbo lenye njaa

lililokosa masikio

na ndani yake ni kilio

mi ndo shujaa niliyesahaulika

a.k.a nyota mpweke

ni sawa na fuko la hela

ambalo umelipiga teke
nge
Junior Member
Posts:42
Joined:Fri Aug 16, 2002 11:18 am
Contact:

Thu Feb 23, 2006 9:34 am

naona dogo

mkia umekufyata

wenzio wananijua

kiasi gani nilivyodata

basi twende kimya kimya

naona umekuwa mdogo

ila usipojichunga

nitakuja zaidi ya mbogo

tena nitakuja

kama tumbo lenye njaa

lililokosa masikio

na ndani yake ni kilio

mi ndo shujaa niliyesahaulika

a.k.a nyota mpweke

ni sawa na fuko la hela

ambalo umelipiga teke
LAST DYTE
Member
Posts:242
Joined:Fri Jan 27, 2006 2:35 pm
Contact:

Thu Feb 23, 2006 12:38 pm

USIRUDIE VERSE MARA TATU/

KATIKA FORUM AU UMESHAKUWA FYATU/

AU UNAFIKIRI HIYO VERSE NI KALI/

KULIKO MANENO YA NABII ISMAILI/
LAST DYTE
Member
Posts:242
Joined:Fri Jan 27, 2006 2:35 pm
Contact:

Thu Feb 23, 2006 12:39 pm

USIRUDIE VERSE MARA TATU/

KATIKA FORUM AU UMESHAKUWA FYATU/

AU UNAFIKIRI HIYO VERSE NI KALI/

KULIKO MANENO YA NABII ISMAILI/
quertzal
Junior Member
Posts:49
Joined:Fri Feb 11, 2005 3:57 pm
Contact:

Thu Feb 23, 2006 4:43 pm

KWA MZAZI INAPENDEZA WATOTO WAKIENDA HAJA/

KIMASHAIRI INANITATIZA MNAPOLUMBANA BILA HOJA/

NDIO LENGO LENU MOJA NA SI MPAKA UBEBE MTUTU UONEKANE SOJA/

AU UACHE WAZI TAKO MOJA TUJUE UMEPINDA MTOA HOJA/

JENGENI UMOJA YAANI MUWE KITU KIMOJA/

INGAWA BONGO LAIFU TAFU NDANI YA MLO MMOJA/

MMENIELEWA NA AMINI
quertzal
Junior Member
Posts:49
Joined:Fri Feb 11, 2005 3:57 pm
Contact:

Thu Feb 23, 2006 4:44 pm

Thu Feb 23, 2006 4:45 pm

Thu Feb 23, 2006 4:55 pm

Post Reply
  • Information
  • Who is online

    Users browsing this forum: No registered users and 2 guests