Washkaji jose mtambo kafunika eeh

Moderator:Juma4admin

skywalker
Junior Member
Posts:35
Joined:Tue Apr 05, 2005 8:33 pm
Contact:

Sat May 21, 2005 2:59 pm

Ebana kwa makamanda tunaopenda real hippop nadhani mtakubaliana na mimi kuwa katika track mpya ya Jose Mtambo ya Haya twende kama sijakosea kuwa kachana michano ya kufa mtu mle.

Jamaa ana kastyle fulani kako kivyakevyake lakini tight kichizi bila shaka masela wangu wote akina quRTAZAL aka sebby na FreD pErry wa Dar es salaam wanaapreciate ucchanaji wa kufa mtu Babuuuu,

Mzee SEBBY na si tufanye kweli tutoke mtu mzima ebana hola bACK au vipi.....
foshizo
Junior Member
Posts:18
Joined:Tue Jul 06, 2004 1:15 am
Contact:

Fri Aug 26, 2005 8:19 pm

ebwanaaaaaaaaaaaaaa ndio wazee hata mimi nime kubali jose ni matamboooooooooooo all hiphop heads must recognise this is another error
vinama'na
Member
Posts:158
Joined:Sun Jan 01, 2006 6:16 pm
Contact:

Sat Jan 28, 2006 2:42 pm

umesikia bado anatisha!?

hiki kichwa kimesimama mwana

kuna nyingine sijui kafanya na nani

inaitwa tulikwepo tutakwepo ni soo

style yake nd'o vunjo la mbuyu
Post Reply
  • Information
  • Who is online

    Users browsing this forum: No registered users and 2 guests