SITA WALISHA SUMU NIPATE KUWAHUKUMU

Moderator:Juma4admin

quertzal
Junior Member
Posts:49
Joined:Fri Feb 11, 2005 3:57 pm
Contact:

Fri Mar 18, 2005 3:55 pm

Nani anataka kutamba,kila kona mimi nimetanda,BULL nimekata kamba nyoyo zenu sasa za dunda,andaa vilivyo nona hii sodoma hakuna kupona, mizani vina imeshona midosho wanakula kona, hakuna awezaye panda hii merikebu iliyojaa vichwa vyenye thawabu,yenye thamani zidi ya almasi viliyomfanya bubu kukosa adabu,proffessor kapandisha mzimu,kichaa nikapewa rungu,na mwendo wa taratibu kusaka noti nakosa aibu,nina swali siitaji jibu yenu tafakari imekosa elimu, mchana kutwa mwakuna vichwa,quertzal nawakilisha real hiphop pasua vichwaaaaaa!!!!!!!!!!!!

lyrical madness!!!

Quertzal
nge
Junior Member
Posts:42
Joined:Fri Aug 16, 2002 11:18 am
Contact:

Tue Mar 29, 2005 11:20 am

wanaogopa kuhukumiwa, ndo maana wanakimbia

hawaitaji kuparamiwa,wanaogopa hata bia

quertzal ndo ameingia, mwenye nyege ndo analiwa

mwanajeshi anakufa,yaani mwanajeshi anazaliwa

tumekuja kuziba ufa,na zawadi zinawadia

hamstahili hata kufa,ili mpate kuhukumiwa

.............................................................

.............................................................
Mchapakazi
Member
Posts:86
Joined:Thu Mar 01, 2001 8:01 am
Contact:

Mon Apr 25, 2005 2:29 pm

Vinapo unganika vichwa vinatoa gharika/

hommiez wakiwa online sitoacha kuback up najua tutafika/

na kuacha vinabo wakitaabika/

ninayo nena hapa shika/ ila maneno ya ajabu hapana anika/

hata kama uko chumba cha sindano cha mika/*

kimara daily tunawajibika/

world wide recognision vina bado tunashika/

tumekuja kuwashika na msosi wetu lazima mtapika/*

yule kanialika huyu anatapika/

sijui kama vyakula leo vitalika/

mashairi kama kwenye vita/ vina hakika vinalipa/

wachovu bado tu wanataabika/

na kupigwa na baridi kali kama Enika/*
skywalker
Junior Member
Posts:35
Joined:Tue Apr 05, 2005 8:33 pm
Contact:

Thu Apr 28, 2005 7:20 am

Nani ataabike pengine mambwisi kama wewe/

Wasiojua kurap washamba na vidokozi kama mwewe/

Safari hii kwa nguvu za atomic bomb sharti uchomolewe/

kwenye website hii, mi si kama mkurdi mweusi kijinga nichezewe/

Kimara side recognation ndo utuzuge worldwide/

mi mwenyewe sikujui au tuseme mdomo umeslide/

acha ku :s hock: wajanja wataku :lol:

Sipendi ukaduwaa nakisha u :cry:
Mchapakazi
Member
Posts:86
Joined:Thu Mar 01, 2001 8:01 am
Contact:

Thu Apr 28, 2005 12:35 pm

Am worldwide punk, and make all chicks crunch/

studio moja Makoma, Akon, Raz, hapa kila goti...kama church/*

najua vina huna, upele unajikuna,ukileta kichwa mi natafuna/

hakuna suna/ hapa tunajituma kama dick inaposugua k***/*

nini unataka huduma au upashkuna/

maana kama unawashwa ntakukuna/

kuwa strong kama F Mbuna/ acha umayayi kama Moshi Haruna/*

changa changa uje waje kukupuna/

representing ma hood straight from viwanja conner ya lunner/

majigambo hakuna/ mapepe hakuna/

vina na kazi mpaka wazembe wenzako wanaguna/*

tunawakilisha kote toka Holland, Kimara mpaka Kaduna/

if u don know what I mean ask kiduma/

usichokoze Son najeruhi kuliko Duma/

na recognition kuliko Puma/
vinama'na
Member
Posts:158
Joined:Sun Jan 01, 2006 6:16 pm
Contact:

Thu Jan 05, 2006 6:07 pm

hizi mbelengwe,mwache usenge,ka'vicheche wa mwenge'

nawapitia denge,mtoke nunge,choka taya sio mbaya,

nawafua kama daya'mnachachawa ,mistali ya kwaya

hak'na aliyegwaya'nawaondoa ka'chuya.[/b]
vinama'na
Member
Posts:158
Joined:Sun Jan 01, 2006 6:16 pm
Contact:

Wed Jan 11, 2006 2:04 pm

[NIKO FULL,NAKOOL,GAME NARULE,

ZOTE TOOL KWA FOOL(choka mbaya)

NIKO REAL TRUE TALK,

TOKA BLOCK,NAROCK,

SHOCK KWA MNAFIKI,ASIYEAFIKI,

MDOMONI MOYONI TIKI,

RHYME ZANGU ZINALEAK,NI KALI,

ANDIKA KWENYE LAKO DAFTARI,

HAMASA USIIMILIKI UKUBALI,

KUTULI KWENYE KITI,

UKIACHA ZIFLOWKWA CHART,

THROUGH UR HEART,

NI HIT MJINGA NAKUKAUNTA ATTACK,

DISASTER KWA MC WEAK,

HEAVY KWAKO KAFILI

NI KAMA GERRARD

WA LIVERPOOL,NI KI'KICK

UBAO HAUSOMEKI KA WAKATI WA

KUSTART,

DYNAMIC NAKUACHA STATICK

amaNON -SHOBO SOULDIER

choka mbaya nyie ni bongo fool-ever tu sawa,

0quote="Mchapakazi"]Vinapo unganika vichwa vinatoa gharika/

hommiez wakiwa online sitoacha kuback up najua tutafika/

na kuacha vinabo wakitaabika/

ninayo nena hapa shika/ ila maneno ya ajabu hapana anika/

hata kama uko chumba cha sindano cha mika/*

kimara daily tunawajibika/

world wide recognision vina bado tunashika/

tumekuja kuwashika na msosi wetu lazima mtapika/*

yule kanialika huyu anatapika/

sijui kama vyakula leo vitalika/

mashairi kama kwenye vita/ vina hakika vinalipa/

wachovu bado tu wanataabika/

na kupigwa na baridi kali kama Enika/*[/quote]
Bantu
Junior Member
Posts:4
Joined:Thu Nov 23, 2006 10:24 am
Contact:

Fri Nov 24, 2006 7:43 am

Bantu jina la mtambulika,

Yes, nafahamika, niite mpatashika,

Nini maana ya kicheko, mtaabika naugulia shida,

Achana na nguvu za giza, nasoma yasiyo andikika,

Naandika yasiyosomeka,

Nakamua tumbo la nchi, kutapisha elimu yaliyofichika,

Nimebeba akili za wengi, niite fuvu la wenye fikra,

Natembea kwenye contua za ubongo, kuziunganisha zilizofutika,

Tega sikio, unasikiliza hekaya za mpatashika,

Mwelemewa wa mitungi mizito ya machozi ya wataabika,

Kutwa kucha ndani ya ndita,

Damu iliyogeuka wino, kwenye karatasi naimimina,

Kwa kalamu naandika, mikono inavimba,

Hiphop fani inapozikwa nahuzunika kuliko msiba,

Napata uchungu zaidi ya nyongo inayomwagika,

Kichefuchefu, nikitema mate, wengi wanayazunguka,

Tamaa ni kuyaokota wakidhani tiba,

Mi ndio Bantu Mpatashika,

Naunganisha vipande vya Hekaya zilizochanika.[/b]
LAST DYTE
Member
Posts:242
Joined:Fri Jan 27, 2006 2:35 pm
Contact:

Fri Mar 23, 2007 1:49 pm

sitawalisha sumu ili nipate kuwahukumu..............

niwazima wanazuga humu AHH wanaugua pumu ?

hawabwengi wanazuga wanapenda stimu ?

afu ni_watoto wamama wanazuga wanamajukumu ?

hasira za mkizi kila kitu wanazuga wan'taka kufyumu ?

wajilaumu rhymes dry msizuge__ hii ndio yenu hukumu !!!

nyie mahabusu hata mkigoma mnazuga mie ndo hakimu !!!

hukumu natoa! mko huru afu eti mnazuga kifungo ndio muhimu ?????????

am out………….

Peace!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
nge
Junior Member
Posts:42
Joined:Fri Aug 16, 2002 11:18 am
Contact:

Sat Apr 28, 2007 7:42 pm

unaninyooshea kidole vitatu vinakutazama

kama inakuuma hukumu ki uhasama

ukiniona unanuna unatamani kuniua sana

utaki kunipa hey unabaki tu kuuchuna

pua yangu ilipo inaangalia chini

nipo tayari kufa ila sijui ni lini
Post Reply
  • Information
  • Who is online

    Users browsing this forum: No registered users and 2 guests