BONYEZA HAPA UKUTANE NA BONGE LA RAPA

Moderator:Juma4admin

uhuru
Junior Member
Posts:27
Joined:Thu Jan 20, 2005 2:10 pm
Contact:

Sat Feb 12, 2005 5:21 pm

MIMI NI UHURU NATAKA KUBATTLE

NAISHI MAISHA MAGUMU YA GETTO

SITAKI MADEMU HUWA NAPIGA PUNYETO

HAMNITISHI MAEMCEE WOTE WA BONGO

WOTE NI BONGO FLEVA NAWATOA NYONGO

NABEBA MSALABA WA HIPHOP KWA AJILI YA NYIE MACHONGO

NIKO MBIONI KUWATOA TONGOTONGO

HAMNIWEZI AFRICAN HIPHOP WOTE

NAWASUKUMA KAMA KETE NAWANYONYA MATE

NAWAKATA KAMA SLESI YA MKATE

ACHENI KUSHINDANA NA MIMI HAMNIWEZI

WOTE NAWAONA KAMA WAPENZI

NIMEMALIZA WOTE NYIE NI WASHENZI.

PUMBAVU ZENU MKACHEZE MAYENU.
gitash
Junior Member
Posts:21
Joined:Thu Apr 28, 2005 1:20 pm
Contact:

Tue May 10, 2005 7:13 pm

wewe nini ina kusumbuwa?

unadhani rap ni chapati au maua?

sijui shida yako iko wapi?

uta kuwa m wack mpaka saa ngapi?
Wesso
Member
Posts:53
Joined:Wed Oct 06, 2004 8:57 pm
Contact:

Tue May 10, 2005 7:49 pm

KIJANA NAONA UNAMATATIZO

SIJUI NINI LAKINI HAPA HATURUSHI MASHAIRI YAKI JINGA JINGA

KAMA UMEKOSA MPENZI MINYA USILETE HIZO ZAKI DEMU

LABDA HIKO NDICHO KA CHANZO

LAKINI HAPA AFRICAN HIPHOP SIYE TUPO POA HATUNA TATIZO HIZO

KAMA UNAKINYOGO NA BONGO FLEVA NENDA KWENGINE

NINANI ALIYE KUAMBIA HAPA NDIPO PAKU MWAGIA MAJONZI YAKO

FIKIRIA KABLA HUJA ROPOKA KUPOROMOKA NAMISTARI HAYO

NA GANGSTA YAKO NIMESHAISOMA AKILIPOTOFU

NAKUONA KAMA KINDA KWAKO MIMI KAMA MASTA

KILA UKINIRUSHIA MIKONO NADAKA NAKUKU BWAGA

ITAKAKUWA POA KAUKI UCHORO HUU MCHORO WANGU

SIUNANIONA BABU,RHYMES ZANGU SIO BOMBA HIVYO

SIMPO LAKINI UJUMBE UMEFIKA

BAB HACHA HIZO HAMA SIVYO UTAZIDI KUTANDIKWA FIMBO

[quote name="uhuru"]MIMI NI UHURU NATAKA KUBATTLE

NAISHI MAISHA MAGUMU YA GETTO

SITAKI MADEMU HUWA NAPIGA pu***to

HAMNITISHI MAEMCEE WOTE WA BONGO

WOTE NI BONGO FLEVA NAWATOA NYONGO

NABEBA MSALABA WA HIPHOP KWA AJILI YA NYIE MACHONGO

NIKO MBIONI KUWATOA TONGOTONGO

HAMNIWEZI AFRICAN HIPHOP WOTE

NAWASUKUMA KAMA KETE NAWANYONYA MATE

NAWAKATA KAMA SLESI YA MKATE

ACHENI KUSHINDANA NA MIMI HAMNIWEZI

WOTE NAWAONA KAMA WAPENZI

NIMEMALIZA WOTE NYIE NI WASHENZI.

PUMBAVU ZENU MKACHEZE MAYENU.[/quote]
quertzal
Junior Member
Posts:49
Joined:Fri Feb 11, 2005 3:57 pm
Contact:

Wed May 11, 2005 5:27 pm

HUYU NAONA KADANDIA TRENI KWA MBELE/

BILA YA KUJUA YA KWAMBA MJINI SHULE/

KIJANA PUNGUZA MISELE TUSIJE KATA CHAKO KIMBELEMBELE/

TUNAJUA UNA UHURU LAKINI KIFIKRA BADO KUPATA NURU/

SISI VIPANGA MZEE WEWE HAPA NI KAMA KUNGURU/

CHUNGA WAKO MDOMO KIMASHAIRI ILI UPATE KUJINUSURU/

HUNA LADHA WALA KIPAJI HUNA/

WATU TUNA UZOEFU BONGO MPAKA COPACABANA/

BADO MSHAMBA NA HAUJUI HATA KUCHAMBA/

HAPA WEWE MANAMBA HUTEZI MIAMBA/

WEEEEE WEEEEEEEEEEEEEEEEEE CHUNGAAAAAAAAAAAAA!!!!!!! :evil:

MIND BLOWER

QUERTZAL
mkurdi-mweusi
Junior Member
Posts:34
Joined:Thu Jul 22, 2004 10:37 am
Contact:

Sat Jun 25, 2005 11:46 am

WEWE UHURU UNAJIDAI MTOZA USHURU UNAKUFURU KA ZAKAYO KUMAMAYO ZAKO JUU MPAKA CHINI KWENYE UNYAYO KWA KIFUPI NATOKEA BULAWAYO SIKIA HAYO NA HAKIKA HUWEZI SIMAMA NA INSTRUMENTO UNALETA ZA PUNYETO MWISHOWE UTAKUWA HANITHI HIZI SIO HADITHI ZA SUNGURA NA FISI UNAHISI BARIDI YABISI INAKUANDAMA KAMA UNAVYOSHIKAMANA VIDOLE NA MAFUTA WAKATI WA NYETO HAPA SIO BARA LA ULAYA UNALETA KURA ZA VETO MIMI NDO SERIKALI YA MSETO NAKUJA KIMENOMENO NIKIZIDISHA MAKALI

NGOJA NISHIE HAPO KWA LEO UKISOMA VINYOLEO VITAKUSIMAMA HAYO NDO MAMBO LEO
Wesso
Member
Posts:53
Joined:Wed Oct 06, 2004 8:57 pm
Contact:

Sat Jun 25, 2005 6:53 pm

kama your the shit then what the fuck you doing here?

kazi tu kutu gambia gambia wakati hata rapu yako enyewe haivutii

umekosa wasikilizaji,wenda pian huko ulipo ukiwa unawa freestalia

wanakunyamazishaga[quote name="gitash"]wewe nini ina kusumbuwa?

unadhani rap ni chapati au maua?

sijui shida yako iko wapi?

uta kuwa m wack mpaka saa ngapi?[/quote]
uhuru
Junior Member
Posts:27
Joined:Thu Jan 20, 2005 2:10 pm
Contact:

Thu Aug 04, 2005 6:38 pm

FULL ILE LAANA NIMEIBUKA TENA

NA NINA SHIKA CHANEL KAMA ANTENA

NIMEIBUKA KUMAMAKO WESSO

NAKUSHIKA MATAKO KAMA RIESO

NAKUPIGA NA MBORO KWENYE USO

UNAKUWA KAMA UMEGONGWA FUSO

NAKUKUNYWA KAMA KAHAWA

NAKUNYWESHA SHAHAWA.
uhuru
Junior Member
Posts:27
Joined:Thu Jan 20, 2005 2:10 pm
Contact:

Thu Aug 04, 2005 6:48 pm

SIJAPOTEA GITASH

NAKUFICHA KAMA CASH

WEWE NA QUERTZAL

NAKUKATAZA NAKUCHAKAZA

ACHA MAMBO YA KISENGE

NAKUKIMBIZA KAMA MWENGE

UKIJA KWETU UNAKOMBWA

UNATOMBWA DU!!

YAANI WEWE NI BONGE YA SISTER DU.
uhuru
Junior Member
Posts:27
Joined:Thu Jan 20, 2005 2:10 pm
Contact:

Thu Aug 04, 2005 6:49 pm

SIJAPOTEA GITASH

NAKUFICHA KAMA CASH

WEWE NA QUERTZAL

NAKUKATAZA NAKUCHAKAZA

ACHA MAMBO YA KISENGE

NAKUKIMBIZA KAMA MWENGE

UKIJA KWETU UNAKOMBWA

UNATOMBWA DU!!

YAANI WEWE NI BONGE YA SISTER DU.
Post Reply
  • Information
  • Who is online

    Users browsing this forum: Bing [Bot] and 3 guests