hawa watangazaji wa kibongo ni kujuananao kimatako matako

Moderator:Juma4admin

vuguvugu
Junior Member
Posts:7
Joined:Sat Jan 22, 2005 3:04 pm
Contact:

Sat Jan 22, 2005 3:58 pm

ebwana mkubwa hawa wanaojiita madj wanaharibu sana huu mziki wa hiphop tz,sasa dawa yao ni wasani wa hip hpo waungane wawe kitu kimoja pili wawajadili hakuna kumpa dj maji wala kimezeo.kwa upande mi naona ni kuwateka na kuwapa kitu inauma alafu watajierkebisha,kitu kingine hamna kuzoeana na mather fuck dj yoyote ,,,,,,, mwaka huu lazima hiphpo itasimama.sanansana hawa claus wanachangia kuharibu mziki wa hiphop .kwanza kunaredio inayoitwa tripo a fm tulijua nao watachangia kukuza mziki wa a.tawn lakini nao hola sasa hao mwaka huu lazima watatia akiliu,hip hop,,, au munasemaje wazeeeeeee
mumia
Junior Member
Posts:5
Joined:Thu Jan 20, 2005 12:28 pm
Contact:

Thu Feb 03, 2005 5:05 pm

nakuunga mkono, hii lazima iwe mapambano ili kuwakata midomo,ninauchungu na haw vinabo,wanapiga nyimbo za kichoko wanaita vipindi vyao hiphop halafu wanatuletea mambo ya milupo,ni mmoja baada ya mwenzake kichapo,siunajua tunahitataji wenye msimamo ili hphop iendelee kuwepo,A-Town mwaka lazima iwe hewani,mzee tuko studio tunasubiri kwenda hewani,kwa nguvu zote lazima iwe redio tripo au mawinguni,ni kwa lazima hakuna kugive up,

ebwana vuguvugu hii iyo akili.mi naishi a town kama nawe ni wa a town tuonane au sio,wanajaribu kuzima hiphop na kuleta matako yao.nyimbo muhimu ili wajue sisi tupo.hakuna kumwacha m******* yao

pamoja ua siooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo.
Mchapakazi
Member
Posts:86
Joined:Thu Mar 01, 2001 8:01 am
Contact:

Wed Sep 07, 2005 1:26 pm

hAKUNA HIP HOP YA KWELI BONGO unaimba kunufaisha watu flani wati is laki kana aiwezi hata kununua dola mia fungua macho wati is milioni kama hata sio dola elfu moja ona mbali. acha ujinga tumia jicho la tatu kuona vitu. uongo mtupu ati sipigi track yako kama utoi alfu hamsini damn it that is nah hiphop kuna muziki....na wanaoharibu ni hao waliopata chances huku kwenye....bila hata..... tabia mbay mbay ysana inauwa vipaji

peace

E-Attack
ungrateful ninja
Member
Posts:132
Joined:Thu Jun 01, 2006 12:15 pm
Contact:

Thu Jun 01, 2006 12:40 pm

hawa ma djz ni makuma,wanajiona kama wao ni watoa huduma,sasa hakuna huruma tutayapandisha maji mlima kwa kufunga mota,hata huku dom hawa commercia djz wanazorota,wachizi wa kambi ya east tumeandaa volts ya 30000 mega ili kuakikisha wanadedi, :oops: hiphop zetu wanasema zina matusi.hawajui kama hawajui fuck them all.ninashine mtaani sitegemei dj.
ungrateful ninja
Member
Posts:132
Joined:Thu Jun 01, 2006 12:15 pm
Contact:

Thu Jun 01, 2006 12:49 pm

hawa ma djz ni makuma,wanajiona kama wao ni watoa huduma,sasa hakuna huruma tutayapandisha maji mlima kwa kufunga mota,hata huku dom hawa commercia djz wanazorota,wachizi wa kambi ya east tumeandaa volts ya 30000 mega ili kuakikisha wanadedi, :oops: hiphop zetu wanasema zina matusi.hawajui kama hawajui fuck them all.ninashine mtaani sitegemei dj.nyie wakina dark masta na mangwear acheni kutegemea hao djz mtakufa kifo chenye mateso makali kuliko cha masihi,nahimiza muache hongo,hiphop haikuinui,hiphop uniinua,wala ustegemee kiinua mgongo
Sharifa
Junior Member
Posts:6
Joined:Thu May 25, 2006 8:19 pm
Contact:

Thu Jun 01, 2006 7:01 pm

Is not there fault,if all artist could be united and demand there right rather than bribe these Dj.I think will be proper way for succeses.The problem of TZ is too much coruption.If you wanna be on air you have to be on benderkneez of DJ or promotor .this is stupidty .sometime is funny to here Dj is promotor , manager of someone .Other their on body becouse they new some one .look you have got MP Chifupa what does she doing for you guys ? is becouse you are blind.Why cant you put pressure on her? is bcouse you dont know why she is there ?everything bongo is just killing of time .Music is talent and job as well.Other think is just a trash no.We need revolution couser not only for us but also for he coming generation.You may organise your self and open your studio or redio by apply loan . wake up guys.............
Sharifa
Junior Member
Posts:6
Joined:Thu May 25, 2006 8:19 pm
Contact:

Thu Jun 01, 2006 7:05 pm

Is not there fault,if all artist could be united and demand there right rather than bribe these Dj.I think will be proper way for success.The problem of TZ is too much coruption.If you wanna be on air you have to be on benderkneez of DJ or promotor .this is stupidty .sometime is funny to here Dj is promotor , manager of someone .Other their on body becouse they new some one .look you have got MP Chifupa what does she doing for you guys ? is becouse you are blind.Why cant you put pressure on her? is bcouse you dont know why she is there ?everything bongo is just killing of time .Music is talent and job as well.Other think is just a trash no.We need revolution couser not only for us but also the coming generation.You may organise your self and open your studio or redio by apply loan .wake up guys .........
uhuru
Junior Member
Posts:27
Joined:Thu Jan 20, 2005 2:10 pm
Contact:

Sat Aug 26, 2006 3:11 pm

[ OI NIAJE MACHIZ MIMI NAWAPA BIG UP KINOMA KWA KAZI YA STREETLIFE DRAMA

EEBWANA NAWATAKIA MAFANIKIO MEMA MACHIZ AU SIYO MBELE TUTAFIKA TUNAPOTAKA,

HIZI BIG UP NI HEAVY WEIGHT BILA KUSAHAU KAMBI TATA,OI.
vuguvugu
Junior Member
Posts:7
Joined:Sat Jan 22, 2005 3:04 pm
Contact:

Fri Apr 06, 2007 7:59 pm

kwa kweli napenda kuwapa pole wapenzi wote wa nell aka faa nelli mzee wa isia kwa kweli adui tutamsaka mpaka mwisho wa kiama.. kuuza revolution ni sawa na kumuuwa faza,,machizi tuwache bifuu za kisoro l
gun slinger
Junior Member
Posts:15
Joined:Fri Feb 13, 2009 4:51 pm
Contact:

Thu Feb 19, 2009 9:26 am

ma mc nao wakaze mkundu!ukiwa na kazi nzuri itakubalika tu!hata wakibana wataachia.chema chajiuza..kibaya chajitembeza...
Post Reply
  • Information
  • Who is online

    Users browsing this forum: No registered users and 2 guests