A Tribute to O.D.B

Moderator:Juma4admin

pistolpakay
Junior Member
Posts:15
Joined:Tue Sep 28, 2004 10:27 pm
Contact:

Sun Nov 21, 2004 6:09 pm

Wiki hii jamii ya hiphop imepata msiba mkubwa kwa kumpoteza mmoja kati ya Mc's walio bora katika uwezo wa kulimiliki jukwaa ODB.

Yes,hatuwezi kumlinganisha na wakaili kama Rakim,Nas,KRS-1 ki lyrics,lakini bado anabaki kuwa mmoja kati ya best entertaner unapozungumzia suala la stage. alikuwa anaonekana kama chizi kutokana na vituko vyake,katika mahojiano na DJ Timwestwood wa radio 1,RZA anaulezea ukichaa wa ODB kuwa ulikuwa mtindo wake wa kuelezea freedom,akaongeza kuwaasa wasanii wadogo kuwa pamoja na kufanya kazi,lakini wakumbuke suala la kupumzika na kujali afya zao.

Suala la live performance kwa wasanii wabongo limekuwa ni tatizo,naomba tuliangalie tatizo hilo na tulirekebishe kama njia ya kumuenzi ODB na kuilinda Hiphop, ila tusifuate style ya maisha yake binafsi.Pia wasanii wabongo mkumbuke kupumzika,sio kila shoo hata za vichochoroni mnataka muwepo,sawa najua mshiko ndio unaotawala dunia lakini bila afya utautumiaje huo mshiko?

Toa maoni yako kuhusiana na O.D.B,je anastahili sifa za kuwa mmoja wa greatest mc's in the planet?

Alcapaino,Baraka tha khalifa,hekima,john maundi,knifebutchers,mchapakazi,M.O.B.E na wengineo......jut have ur say!.......mnakumbuka enzi za ENTER the WU 36 chambers..........Mg unakumbuka,enzi za kukaa geto Drive-in na lundo la tapes?tulikuwa tuna haki ya kufanya hivyo coz tulikuwa hatuna FM radios.........but it was fun moment,those years,hiphop was a real hiphop.cheers

pkay ...aka Bwegefulani hivi
Mchapakazi
Member
Posts:86
Joined:Thu Mar 01, 2001 8:01 am
Contact:

Mon Nov 22, 2004 4:07 pm

Man its tru tumepoteza really hip hop soldier katika game yaani the guy was real fromthe street stage na kwa interveiws zote pamoja na kashfa zake za sometimes kuto take even care ya watoto wake mwenyewe ila in representing hip hop scene he was real with all the peeps of the WU

Mimi binafsi nitaendela kuburudika naye coz i have almost allWU and many of hes jointz the same to others soldiers like Biggie, Pac, freeky tah.Big L, Eazy 'Eric Wright' E,Punisher, Dana dane, etc etc

R.I.P. Ol' Dirty, the whole world is going to miss you.
Knifebutcher
Member
Posts:112
Joined:Wed Nov 12, 2003 4:27 pm
Contact:

Mon Nov 22, 2004 7:05 pm

Rest in peace mr Shimmy shimmy ya.Hip hop imepata pengo ambalo si zaidi kuzibika.Si rahisi kumpata emcii mwingine kama O.D.B.Sio siri unajua nilipoanza kusikiliza joint ya Wu vichaa ambao walivuta attention yangu kwa sana walikuwa ODB na RZA.Wu-tang is still ma favourite hiphop joint of all da times.Naweza kusema mimi ni shabiki mkubwa wa Wu na O.D.B alikuwa kichaa wangu.Hata kama Wu wakija tena lakini bila O.D.B kuwepo ni kama Wu imekufa
ODB
Junior Member
Posts:37
Joined:Fri Nov 23, 2001 8:01 am
Contact:

Sun Dec 05, 2004 10:38 am

........nothing to say than R.I.P.............................

Ukizingatia ndo nilikuwa natumia sign yake utaona namna gani nilivyokuwa na mfeel..................
alcapaino
Member
Posts:81
Joined:Fri Oct 05, 2001 9:01 am
Contact:

Sat Dec 11, 2004 2:52 pm

Shame On U, When U Step Thru To

The Ol' Dirty Bastard, BROOKLYN ZOO!

Kudadeki huyu FARA alikuwa ana ladha za kutosha...Hey Pistol nakumbuka zile enzi za Drive-In wakati WU ndo wanatoka tupo na tape zetu za Gold-Star zimejaza kabati...pembeni kuna ki-redio cha AKAI double-deck cha kurekodia tulikifumua mpaka tukawa tunaweza ku-scratch tape...Kaka umenikumbusha Mbali...Baraka nadhani unakumbuka sawia(Bongo lini?...Album vipi?)

Kwa waliosoma ile forum niliianzisha long-tym kidogo 'Ilikuwa Vipi Hip-Hop Zamani' humo ndani utapata kuona watu wengi walivyom-prop Ol' Dirty....Sosa I Kno U must be feelin zis Head too

Namkumbuka huyu Fala toka kwenye 'Protect Ya Neck'...cheki ile shooting uone kwanza alivyo-dress mpaka nywele zake ndo utakubali fani iliingiliwa na chizi...Namfeel sana

Wasanii wenyewe wanakubali kwamba ODB hakuwa mtu wa kumess nae...skiza fresh nyimbo ya 50-Cent na Madd Rapper ya 1999 kabla hajawa 50-Cent huyu wa sasa inaitwa 'How To Rob' akiwa anaelezea jinsi ya ku-rob Industry Niggas, alipofikia kumtaja ODB....

'The only excuse for being broke is being in Jail

An Entertainer can't make bail if He's broke as Hell

I'd rob ODB but that'd be a waste of time

Probably have to clap him run and toss the 9'

Hapo utapata picha jinsi MCeez wanavyompa flag...In-short Brooklyn Zoo imepoteza KICHWA...tazama album-cover ya 'Return to the 36 Chambers' hiyo ilikua tosha kumwakilisha ni JITU la aina gani...

Hizo ni enzi za kina Tonny Starks, Johhnie Blaze, Lou Diamonds, Noodles, Rollie Fingers, Bobby Steels....Dah!...ebana WU thoo'

Pistol unakumbuka jinsi watu tulivyokua tunai-feel Brooklyn Zoo kipindi cha shule Mazengo Dodoma...mpaka ikaja East Zoo.

Najua Dark Masta atakua amedondosha machozi mengi sana..Pole Mzee!

R.In.P

alcapaino.MG

'Oyaa O.D.B tuwekee chance Masela tunakuja'
Mchapakazi
Member
Posts:86
Joined:Thu Mar 01, 2001 8:01 am
Contact:

Thu Dec 16, 2004 8:08 am

Dirty Died From Cocaine And Prescription Painkiller

By Roman Wolfe

Date: 12/15/2004 10:00 am

A medical examiner has ruled the death of rapper Ol’ Dirty Bastard an accident, the result of taking cocaine and Tramadol, a prescription painkiller.

A spokesperson said the combined effects of the cocaine and Tramadol caused the rapper to suffer a heart attack on November 13, just two days before his 36th birthday.

According to the American Society of Health-System Pharmacists, Tramadol is used to relieve moderately severe pain.

The drug is usually prescribed to treat pain caused by surgery or chronic conditions such as joint pain or cancer, although it is prescribed for other reasons.

Warnings on the label suggest that the drug, which abusers usually crush and then sniff due to the taste, should be taken exactly as prescribed and can be habit forming.

Ol’ Dirty complained of chest pains days before he suffered a fatal heart attack inside of Wu Tang’s Manhattan based 36 Records.
Post Reply
  • Information
  • Who is online

    Users browsing this forum: No registered users and 6 guests