Tanzania Hip Hop summit

Moderator:Juma4admin

natty
Junior Member
Posts:10
Joined:Sat Oct 02, 2004 4:04 pm
Contact:

Fri Oct 08, 2004 8:27 am

masela katika kusoma habari za Tanzania nimekutana na hii article kwenye site ya darhotwire.com.

http://www.darhotwire.com/v2/x-frame.html

tubadilishane mawazo kuhusu hatua ya Mr II na wenzake katika kuendeleza hip hop
Knifebutcher
Member
Posts:112
Joined:Wed Nov 12, 2003 4:27 pm
Contact:

Fri Oct 08, 2004 3:26 pm

[quote name="natty"]masela katika kusoma habari za Tanzania nimekutana na hii article kwenye site ya darhotwire.com.

http://www.darhotwire.com/v2/x-frame.html

tubadilishane mawazo kuhusu hatua ya Mr II na wenzake katika kuendeleza hip hop[/quote]

to me it sounds like bongoflava summit.Cheki watu watakahudhuria kutoka ndani ya tanzania wengin wao hawaijui hiphop.Mfano waandish wa habari na maproducer kwnza wao ndio wamechangia hiphop kuchaFULIWA BONGO.jAMNI NOI WAKATI WA KUTOFAUTISHA HIPHOP NA BONGFLAVA.hIYO NI BONGFLAVA SUMMIT SIO HIPHOP SUMMIT
natty
Junior Member
Posts:10
Joined:Sat Oct 02, 2004 4:04 pm
Contact:

Sat Oct 09, 2004 5:33 am

kiana nakubaliana na wewe kuwa washiriki wengi wa Tanzania ni watu wabongo flava.... sina tatizo na ushiriki wa producers na wasanii zaidi ya waandishi wa habari. Nadhani waandishi wa habari hawaitaji kuhusika kama participants (instead of reporters) kwani hao watangazaji na wengine wanahitaji kwenda shule ya media i.e TSJ.

Lakini bado nadhani summit inaweza kuwa na mchango kwani wanasema watahusisha watu kutoka nje ya Tanzania hivyo wanaweza kupanua mtazamo wa wasanii kutoka kwenye Hip Hop katuni mpaka true Hip Hop. Kwani nadhani wasanii wengi wa wabongo wanahitaji knowledge hivyo waache wapelekwe darasani kidogo inaweza kusaidia fikra na mawazo yao.

ni vizuri kusikia wasanii karibia 500 watahusika kwani kama mnakumbuka MC Pogo alivyoletwa na british council.... wasanii walijaa sana Vijana social club lakini walivyoambiwa kuhusu workshop (ilikuwa free) wenyewe walitaka kulipwa....

sijui wenzangu mtazamo wenu mnaonaje
Mwana wa africa
Junior Member
Posts:4
Joined:Tue Jun 29, 2004 9:41 pm
Contact:

Tue Nov 02, 2004 11:38 pm

hip hop summit my ass!!

nia na madhumuni ya Sugu ni kusevu HIP hop hila hofu yangu ni kuwa, wausika wakuu watakaokuwa kwenye hiyo summit they dont know fuck all about the calture.hinanihuma sana kuwa hakuna hip hop bongo.nguzo zinazoshikilia sanaa ya hip hop hazifatiliwi.yani hip hop bongo ni kama mtoto aliyezaliwa hakahanza kukimbia hatua nyingine zote muhimu hajapitia.
maoud
Junior Member
Posts:2
Joined:Mon Dec 20, 2004 10:39 pm
Contact:

Mon Dec 20, 2004 10:49 pm

[quote name="natty"]masela katika kusoma habari za Tanzania nimekutana na hii article kwenye site ya darhotwire.com.

http://www.darhotwire.com/v2/x-frame.html

tubadilishane mawazo kuhusu hatua ya Mr II na wenzake katika kuendeleza hip hop[/quote]
maoud
Junior Member
Posts:2
Joined:Mon Dec 20, 2004 10:39 pm
Contact:

Mon Dec 20, 2004 10:50 pm

[quote name="natty"]masela katika kusoma habari za Tanzania nimekutana na hii article kwenye site ya darhotwire.com.

http://www.darhotwire.com/v2/x-frame.html

tubadilishane mawazo kuhusu hatua ya Mr II na wenzake katika kuendeleza hip hop[/quote]
mumia
Junior Member
Posts:5
Joined:Thu Jan 20, 2005 12:28 pm
Contact:

Mon Feb 14, 2005 5:02 pm

HIP HOP SUMMIT GANI WAKATI VICHWA VYOTE NDANI BONGO FLEVA

JAMAA ALIIBUA HIYO DILI KUTOKA KWA DOLA AMBAYE NAYE ALIIOPOA KUTOKA KWA MASISTER DUU FULANI WA KIAMERIKA AMBAO MMOJA NI MNZAZIBAR AMBAYE WALIKUTANA NA DOLA MTONI NA ALIKUWA ANAMJUA DOLA KIMTINDO.

BAADA YA HAPO DOLA KUPATA TUU LILE DILI AMSENDIA MCHIZI WAKE KABLA HATA WALE KIDADA HAJASUTKIA ,NDIO ILE 2 AKAIPIGA HARAKAHARAKA ILI APATE CHA JUU .WALE MASISTER WALIKUWA WAMESHAANDIKA KILA KITU CHINI SI WAKAJA TZ ILE KUFIKA WAKAKUTA KILA KITU KIMEARIBIKA NA 2 AMESHAMALIZA MAMBO YOTE

IKABIDI WAFANYE WORKSHOP NDOGO AMBAYO ILIFANYIKA A-TOWN ...

HAKUWA HIPHOP SUMMIT BALI ILIKUWA NI 2EET
natty
Junior Member
Posts:10
Joined:Sat Oct 02, 2004 4:04 pm
Contact:

Thu Feb 17, 2005 9:33 am

Duh...hizo tuhuma nzito, Hao akina dada mmoja wao ndio Khadija kwani nafahamu kuna dada mmoja alikuwa aje Arusha kufanya workshop ya rap lakini sikuwahi kuiconnect na Hip hop summit ya Mr II.

Nilivyoanzisha hii topic nilikuwa nimesoma article kwenye Darhotwire lakini kama bahati nzuri nilikuwepo Bongo wakati inafanyika....kusema ukweli kwa sehemu fulani sikatai Mr II alichukua nafasi ya kutengeneza jina lake kuanzia kwenye site aliyojaza picha zake na watu wake wa karibu mpaka kwenye workshop ambayo niliyoona imepoteza "mwelekeo" if there was one.
foshizo
Junior Member
Posts:18
Joined:Tue Jul 06, 2004 1:15 am
Contact:

Tue May 10, 2005 8:25 pm

yo, nyie machoko embu weak-up kila kitu mna crush, mafara nini waambieni mama zenu wafanye hip-hop summit then, ndio maana wabongo amuendelei kila kitu mna pinga.
newton
Junior Member
Posts:1
Joined:Mon May 23, 2005 5:04 pm
Contact:

Mon May 23, 2005 5:46 pm

MZIKIWAKIBONGO SASA HIVI UNATISHA KWAWATU WANAUUPONDA NICHUKI BINAFSI NANI ATAPINGA?.ITS ME NEWTON JAMES URASA FROM DAR-ES-SALAAM

http://www.darhotwire.com/v2/x-frame.html

tubadilishane mawazo kuhusu hatua ya Mr II na wenzake katika kuendeleza hip hop[/quote]

to me it sounds like bongoflava summit.Cheki watu watakahudhuria kutoka ndani ya tanzania wengin wao hawaijui hiphop.Mfano waandish wa habari na maproducer kwnza wao ndio wamechangia hiphop kuchaFULIWA BONGO.jAMNI NOI WAKATI WA KUTOFAUTISHA HIPHOP NA BONGFLAVA.hIYO NI BONGFLAVA SUMMIT SIO HIPHOP SUMMIT[/quote]
Post Reply
  • Information
  • Who is online

    Users browsing this forum: No registered users and 2 guests