MKAO WA KULA.............. kwa wabongo wote world wide

Moderator:Juma4admin

m.o.b.e
Member
Posts:132
Joined:Mon Jul 12, 2004 8:56 pm
Contact:

Fri Nov 26, 2004 9:49 am

Baada ya kutambika na track ya Tambiko mc/producer/writer anakuja na single ya pili.

single ya pili inapikwa jikoni, still in south africa, inakwenda kwa jina la shindikizo, productions inafanywa na M.O.B.E na 21shots aka boliva jijini pretoria. tega macho na masikio.

visit http://www.soundclick.com/muba and listen to the track called tambiko.

maoni bado yanakaribishwa.

amani na upendo
m.o.b.e
Member
Posts:132
Joined:Mon Jul 12, 2004 8:56 pm
Contact:

Wed Dec 08, 2004 11:04 am

M.O.B.E Signs Distribution Deal with Nomadic Wax

Posted on Friday, December 03 @ 12:05:57 SAST

Department: Announcements

You all might be aware by now, of the Tanzania conscious lyricist M.O.B.E, who recently released his first single Tambiko “feast” independently under his label Phat Boy records. The single which has been creating buzz to the African hip hop circle, which lead to negotiating a distribution deal with one of the hip hop African underground label NOMADIC WAX, based in Brooklyn, United States of America, to distribute his work world wide...

The deal, which was signed in Brooklyn – United States of America and Pretoria - South Africa respectively, will up lift and create a bigger space for this lyricist to reach a much wider audience in different angle of the globe.

If your in and around South Africa, get ready to see him performing live, when he kicks off his Promo tour, known as Tambiko Hip Hop Tour on the 24th December 2004, at Pili Pili Night club – Hamilton Center in Pretoria. The tour will see him performing in different venues in Johannesburg and Cape Town.

“I am very excited with the deal with Nomadic Wax, my excitement shall be revealed when I start my tour on the 24th December 2004. I have got a number of artists from Tanzania hip hop scene as well as south Africans artists will be supporting acts” M.O.B.E explains.

Come through and get the real taste of underground scene in Pretoria.

To listen his single Tambiko, visit http://www.soundclick.com/muba and listen the track called Tambiko.

Any enquiry hola: [email protected]Habari toka site ya http://www.africasgateway.com
m.o.b.e
Member
Posts:132
Joined:Mon Jul 12, 2004 8:56 pm
Contact:

Sat Jan 22, 2005 10:07 am

Kwa wabongo wote waishio South Africa. M.O.B.E nitaperform katika show ya african lyricists siku ya jumamosi tarehe 5 feb 2005 katika ukumbi wa B II Vibe Hatfield Pretoria south africa along side PRO KID, PROVERB (Channel O), DR PAM (ANGOLA) ETC.

MUCH LUV

to listen to my track visit http://www.soundclick.com/muba
foshizo
Junior Member
Posts:18
Joined:Tue Jul 06, 2004 1:15 am
Contact:

Fri May 13, 2005 10:42 pm

Yo, GUESS HU IZ BUCK.

Iz been long time since I wrote some in this page, I tried to Educate this so called vichwa, and mc wanna be a diferent of politics from facts. to be really revolution of really hip-hop bongo haiwezi kufanywa na ma Mc to be honest, kwanza ina bidi ianze kwa ma producer kuja kwa radio hadi kwa distributer a person ho iz in the middle, between industry and buyers.

sasa kama tuta kaa na kupiga makelele na matusi tuu tuta ishia hapa.

I take you back like nine or ten month I was urged with m.o.b.e. and Knifebutcher these two mother fucker they talk too much like hoes. mimi nataka tutumia kila kitu kuweka hip-hop bongo,

kwanza nataka niwaelimishe what is happening in industry in bongo, hauwezi kurekodi bila kuwa na producer na most of them in case of bongo ni studioz owners, they need some cash to record, so unatakiwa kuwa na ela ili ulekodi na nazani tukubaliane ma Mc wote wanafanya fani kama moja ya sehemu ya kutafuta maisha I mean they do to make some money not for fun. kuna watu they called them self ma meneja this people most of them are radio DJ'Z hawa huwalipia wasanii chipukiza most of them are undergroundz, utakuata mtoto kichwa lakini meneja au mlipaji studio ana mwambia imba hivi acha ugumu imba mambo haya ndio tuta piga radio na nyimbo ikipigwa so many times on the radio ndio

wahindi wana nunua album.

sitaki kuwachosha ila hiyo ndio hali halisi angalia ume simama wapi unaweza kufanya nini uokoe jamii sio kupiga kelele .

Big up all heads this iz my views dont be mad I only wanna be really.
m.o.b.e
Member
Posts:132
Joined:Mon Jul 12, 2004 8:56 pm
Contact:

Sat May 14, 2005 12:07 pm

Ru Foshizo or fOSHI-HOE? Still wanna shine on my shine, fuck it! yo check this out. as an mc firstly and foremostly, u have to define urself and being responsible for what ur representing. thats all I can say for today.

single ya pili ya m.o.b.e soon will be introduced to the net, kaa tayari. kusikiliza previous track (first single- tambiko) visit http://www.soundclick.com/muba

amani na upendo
HE KI MA
Member
Posts:95
Joined:Wed Sep 15, 2004 6:20 pm
Contact:

Mon Jul 04, 2005 7:33 pm

Sema nao PK, nilikua na-scroll leo nikaona hiyo qoate hapo, sasa yale mambo yako humu..

http://www.bongoflava.com/Music.htm

1
HE KI MA
Member
Posts:95
Joined:Wed Sep 15, 2004 6:20 pm
Contact:

Mon Jul 04, 2005 7:37 pm

[quote name="pistolpakay"]Mzee track ipo tyt! mashairi yameenda shule beat inanikumbusha 93 to 96 when hiphop was real hiphop,sio sasa watu wanatumia beat za pop kwenye hiphop.ila kama alivyosema hekima,vile vionjo vya mwishoni ungeviweka tena kati. big up M.O.B.E

hekima! you are da ril' tru'master,need to hear your staff man!

Alcapano vip? mbona kimya?

pkay aka bwege fulani hivi[/quote]

i min dat quote hapo juu

1
m.o.b.e
Member
Posts:132
Joined:Mon Jul 12, 2004 8:56 pm
Contact:

Mon Jul 04, 2005 10:05 pm

hakuna matata hekima na pistolpakay, naheshimu sana mchango wenu kuhusiana na track ya tambiko, kuna remix ya track inakuja na pili kuna track ya pili inayoitwa M.O.B.E itatambulishwa mwishoni mwa mwezi huu wa saba.

amani na upendo kwa vichwa vyote
m.o.b.e
Member
Posts:132
Joined:Mon Jul 12, 2004 8:56 pm
Contact:

Mon Aug 01, 2005 5:25 pm

Mambo yameiva, ya single ya pili inayoitwa M.O.B.E. Tega sikio na fumbua macho.

Track imefanyiwa south africa na up-and coming underground producer 21 Shots aka Boliva.

itatambulishwa soon.

amani na upendo
m.o.b.e
Member
Posts:132
Joined:Mon Jul 12, 2004 8:56 pm
Contact:

Fri Sep 09, 2005 5:42 pm

mambo swafi, single ya pili ya M.O.B.E inayoitwa M.O.B.E ipo tayari katika site ya http://www.soundclclick.com/muba. Maoni yanakaribishwa.

amani na upendo
Post Reply
  • Information
  • Who is online

    Users browsing this forum: No registered users and 5 guests