kabla Huja-CLICK hapa...kwanza tangaza Msiba kwenu.

Moderator: Juma4admin

Yusa
Junior Member
Posts: 3
Joined: Wed May 23, 2007 6:43 pm
Contact:

Thu May 24, 2007 1:17 pm

WE c Nduli Dada bac mi Nyerere,

Unajiona mfalme nimekuja haina kwefere,

we ni giza mi mwanga nakukimbiza,

Siko makini huna lolote nakupoteza,

hufai hip hop unatakiwa dansi,

huna mapafu huiwezi hii kac,

mi ndo boc we konda wa Basi,

Unakataa huna mafua wakati unamakamasi.....

msiba utakua kwenu Kama unaweza jibu,

Jiandae kuvaa bikini kwahiyo ntakutoa mapumb* :oops:
msizwa
Junior Member
Posts: 16
Joined: Wed May 16, 2007 2:57 am
Contact:

Fri May 25, 2007 12:56 am

hii sumu kali we gozogozo usijaribu kunusa//

unapoteza uwelekeo bwana mdogo YUSA//

kama WE nyerere mi Mwinyi nakupa ruksa

una byt rymz za bi kidude acha upemba

au we mamboswafi sema tukuvishe kilemba

bora ufanye bato na mh,Temba//

umekutana na bolo nene//na ku pimp ka malaya kisha mi nadaka mapene

we bongo levya huu mziki mnene

nakutomba kimashairi kavu kavu bila kondomu

ku bato na mimi ni sawa kumuua swala kwa bomu
Yusa
Junior Member
Posts: 3
Joined: Wed May 23, 2007 6:43 pm
Contact:

Fri May 25, 2007 6:40 pm

We unatoa Sumu mi natengeneza,

kabla ya ku-battle na mimi unapaswa kujifunza,

Mistari yako imeoza-naona tu funza,

Mi ni soldier vitani ndo home ahsante kwa kunchokoza,

Cna shaka lazima we ni choko,

Ndo maana unadhani kila m2 ni mwenzako,

Vi- line vyako vinanipa kicheko,

We huniwezi mimi kamwite mwalimu wako,

Unanipa Ruksa basi anza kuvua boxer,

geukia ukuta nianze kukupa mikasa,

Usishindane na moto a.k.a YUSA,

Msizwa we farao.. mi ndo Musa,

Nimeshakuja sipotei japo aghali kama pesa...

:evil:

Image
msizwa
Junior Member
Posts: 16
Joined: Wed May 16, 2007 2:57 am
Contact:

Sat May 26, 2007 11:57 pm

acha kuchonga dogo we ni looser/

huna line za kijanja,,zimezeeka ka ajuza/

nakujaza ujinga kama hewa ya ftuza/

mi ndo freesrtyl master, hustler ,mi ndo mwanaapolo

unataka nivue boxer basi anza kunyonya bolo

utamu umekolea nikukojolee mdomoni au utanipa nyoro

wacha nipake mafuta lainisha ngozi nyororo/

bwana mdogo nakuweka kipolo

na kesho unipe tena mgongo mgongo ka twanga chipolopolo

haki haiwi batili huwezi kujiita Mussa

we ni mc gozogozo choko YUSA

huna udhu kwanza kaoge janaba

mi ndo msizwa mpaka penati nakaba

usijaribu kulinganisha thamani ya dhahabu na shaba
bahati
Junior Member
Posts: 9
Joined: Wed Aug 01, 2007 10:23 pm
Contact:

Wed Aug 01, 2007 11:38 pm

Ukweli ukweli tu babaake si offense masela wamekukacha na zao rhymes fake, wananakuja kwa kubip, ukipiga hawapokei. wanalewa kwa kujikubali wanyewe,usemi wa mgema akisifiwa kwao itabaki msamiati,wanasaliti game kwa mistari iliyopinda pinda, hata kontua haisapoti. Grounds hawana wazushi ka RVF kisha wanasepa, hii ni zaidi ya HIV bado tunalisongesha. sitabiriki, ukitest kutabiri nakuotea ka tsunami
alcapaino
Member
Posts: 81
Joined: Fri Oct 05, 2001 9:01 am
Contact:

Thu Feb 19, 2009 1:24 pm

[quote name="bahati"]Ukweli ukweli tu babaake si offense masela wamekukacha na zao rhymes fake, wananakuja kwa kubip, ukipiga hawapokei. wanalewa kwa kujikubali wanyewe,usemi wa mgema akisifiwa kwao itabaki msamiati,wanasaliti game kwa mistari iliyopinda pinda, hata kontua haisapoti. Grounds hawana wazushi ka RVF kisha wanasepa, hii ni zaidi ya HIV bado tunalisongesha. sitabiriki, ukitest kutabiri nakuotea ka tsunami[/quote]

Oyaa Bahati (Mad) haina nouma mwana

Naona forum imekuwa tupu kama jangwa ngamia wote wametoweka, sijui ni kweli wamekacha! ama majukumu yamewazidi

Siku nyingi sija-batto....ngoja mtu achokoze nirudi tena!

Wapi watu wangu?... Sosa, He.Ki.Ma, Soul Rebel, Ambax, Quetzal (Seby), Miko.......

alcapaino.MG
Wesso
Member
Posts: 53
Joined: Wed Oct 06, 2004 8:57 pm
Contact:

Wed Jun 03, 2009 2:39 am

Wesso on the scene/ku see whats going on here with these mc's

ni consider mimi ka shaolin master/ukipiga wote utapata zamu yako na master

ha ha ha nacheka /kwani amna yeyote humu anyeniweza

kama nivyosema / i am wesso and on the scene/so hold tight as i make my way in

the tournament kama mortal kombat/mi johnny cage/battle on the way

nauliza yukwapi oponent wangu/kuna yeyote humu ndani anaye weza kuwa mpinzani wangu

basi ka bi harusi aje mbele/tuanza battle bila delay

mistari baada mistari/tuone nani aliye hodari

Hola

1
alcapaino
Member
Posts: 81
Joined: Fri Oct 05, 2001 9:01 am
Contact:

Thu Jul 09, 2009 2:53 pm

Wesso mwali, muogo mtamu wa yangu futari,

kyela wangekuita wali, tabora ni ya nyuki wadogo asali!

batto!!...kama unaiweza tuzame ziwani mi sangara we sato!

kub*b*b*ko!...unapitia biharamulo wakati kuna lami chato

rhyme zangu kufuli kamuulize magufuli

nimezaliwa kiburi zamia wangu mduara wanahisabati wanauita sifuri

album yako kwangu single, chorus yangu kwao jingle

mweupe kwa wangu mpingo, unaulizia 'hesabu' ya gari wakati we utingo!!

hamnaga utani zangu tungo zipo mtungo kama korodani

uasherati wangu wa mizani unafuka zaidi ya harufu ya kwapa la mfungwa gerezani

.....x......v....xvsjssll........fkfkf

crackmonimolla.......f...........ggg...........enizolla

......silentskin...........zincamalgam......inconcHCL......nightmover....fhgkj.....mg...theyullu

...likmos.......fx=f=ma=e=mc2.......original....mg....productionz....ndongavampire.......

DUUH HII KEYBOARD IMEKUAJE TENA!!

Note: unapitia biharamulo wakati kuna lami chato (ukitaka kubatto na mtu um-specify na sio kuzungusha maneno)
fundiaminy
Junior Member
Posts: 3
Joined: Fri May 08, 2009 7:48 am
Contact:

Sun Jul 19, 2009 12:56 pm

fundiaminy aka mzee wa mikoba nakuja fulmikoba,niko sobber,vesi ni fupi ya kuwabwaga kwenye flo kama chupi,fek mcz kama wesso na alca nawang'oa kwenye flo mike nikiifanya reki....hahaha jamaa mpo lakin?
vinama'na
Member
Posts: 158
Joined: Sun Jan 01, 2006 6:16 pm
Contact:

Tue Aug 18, 2009 2:38 pm

[quote name="alcapaino"]The King of Metaphorz kaja tena...Kudadeeki!

Nazani sasa kitakachotokea ni kifo cha mizani kwani kawaida sina utani inapokuja ishu nzima ya ku-ghani....

Mi ndo faza, sihitaji kipaza napotaka kuwapa laza au vipi braza?

Si mnanijua, rhyme zangu mnazitambua, basi ondoeni hofu nipo tayari kuwachengua.

Nawapa Holla tu coz bado naandaa mazishi ya wale wabishi.

alcapaino.Mg

'the town tolka'[/quote]mazishi uliyotegemea hayajatokea

wazushi wapishi wa uongo lungu wamepewa

walodhaniwa wabishi,wamegeuka mapromota

kupromoti walichokua wakipinga

ujinga katika fani ushatia nanga

maneno ya khanga yakatoa mwanga

jifunze kupitia visanga-

mikasa ikija uweze kujikinga!

watoto wanawadharau wakunga

wakidhani watakua wachanga daima!Post Reply
  • Information
  • Who is online

    Users browsing this forum: No registered users and 2 guests