Search found 9 matches
- Sun Sep 08, 2002 8:09 pm
- Forum: Swahili
- Topic: UVAAJI WA KUIGA MAREKANI UNAWAKILISHA ??? (KEEPIN IT REAL?)
- Replies: 42
- Views: 24675
UVAAJI WA KUIGA MAREKANI UNAWAKILISHA ??? (KEEPIN IT REAL?)
nimekufahamu mkuki.Ok tutaiongelea hii hoja vizuri ktk mada ambayo itakuwa inaendana nayo.Naheshimu mawazo yako.
- Sun Sep 08, 2002 1:31 pm
- Forum: Swahili
- Topic: How do you say these in swahili?
- Replies: 3
- Views: 3297
How do you say these in swahili?
Yeah, those are much simple:
1.Angel in Swahili is Malaika
2.There are several word in Swahili standing for devil though the most common is Shetani.Other words are ibilisi and pepo
1.Angel in Swahili is Malaika
2.There are several word in Swahili standing for devil though the most common is Shetani.Other words are ibilisi and pepo
- Sat Sep 07, 2002 12:17 pm
- Forum: Swahili
- Topic: UVAAJI WA KUIGA MAREKANI UNAWAKILISHA ??? (KEEPIN IT REAL?)
- Replies: 42
- Views: 24675
UVAAJI WA KUIGA MAREKANI UNAWAKILISHA ??? (KEEPIN IT REAL?)
Sasa Mkuki nashukuru umeanza kuingia pale panapotakiwa.Hayo mawazo ya kufikirika ni mazuri,tena mazuri sana ila ukweli unabakia palepale kwamba hayawezi kutekelezeka bila kuwepo na uhalisia.Mifano ya mapinduzi ya China,Uingereza na kwingineko naomba uitathmini kwanza halafu uone kama hautakubaliana ...
- Sat Sep 07, 2002 11:35 am
- Forum: Swahili
- Topic: How do you say these in swahili?
- Replies: 3
- Views: 3297
How do you say these in swahili?
Hey man. Kiswahili Syntax is somehow different from English so it is hard to give a straight translation of those words,but let me try to put it like this,starting with "The" "the" in English is an article which is used before a noun which has already been mentioned.ie. I ate an apple The apple was ...
people
This mr blow,
His mind is really blown,
He's just like a cow,
Who's naked in his brain,
He doesnt have what n' how,
He's just like this guy :oops:
I DONT SEE THE LOGIC OF DOWNLOOKING A MAN WHO TRIES TO SHOW HIS TALENT.BIG UP SIMBA!!!!

- Fri Sep 06, 2002 9:33 pm
- Forum: Swahili
- Topic: JAMANI SERIKALI YA MKAPA INATUPELEKA WAPI?
- Replies: 0
- Views: 2115
JAMANI SERIKALI YA MKAPA INATUPELEKA WAPI?
Hivi jamani hawa jamaa tukishawachagua mbona wanatupeleka wanavyotaka wao?Yaani inafikia wakati inakuwa too much. Hapo nyuma nilipokuwa nikiona masela wanatimkia majuu niliona kama si wazalendo ila sasa nimeanza kuelewa. Labda twende na fact kabisa.Mheshimiwa sana Mungai kwa nguvu zote alitangaza ku...
- Fri Sep 06, 2002 8:31 pm
- Forum: Swahili
- Topic: mademu zetu
- Replies: 1
- Views: 2392
mademu zetu
Usikurupuke mzee kuweka mawazo yako online kabla hujayafanyia kazi.Eti ukimwi usingekuwepo kama kusingekuwa na nguo za kubana?Kwani ukimwi umeanza leo?
Na nani kakwambia wasichana wasiovaa nguo za kubana wako ugly?Nyie ndioo walewale.
Na nani kakwambia wasichana wasiovaa nguo za kubana wako ugly?Nyie ndioo walewale.
- Fri Sep 06, 2002 8:23 pm
- Forum: Swahili
- Topic: UVAAJI WA KUIGA MAREKANI UNAWAKILISHA ??? (KEEPIN IT REAL?)
- Replies: 42
- Views: 24675
UVAAJI WA KUIGA MAREKANI UNAWAKILISHA ??? (KEEPIN IT REAL?)
Washikaji mi naona tuongee vitu ambavyo vipo,si vya kufikirika yaani tuongee vitu ambavyo hata mwenyewe ukikaa chini ukatafakari utaona vinaelekea kwenye mstari. Sisemi hivi kwamba nayaponda mawazo yenu,hapana.Hapo tuelewane kwanza,ila ninachosema mimi ni kuwa nyinyi mmeelemea zaidi kwenye mawazo ya...
- Fri Sep 06, 2002 7:02 pm
- Forum: Poetry / spoken word
- Topic: IT'S RAINING,LET'S NOT GO OUTSIDE
- Replies: 4
- Views: 2372
IT'S RAINING,LET'S NOT GO OUTSIDE
YEAH GUYS.MY USERNAME IS sedon_jr.I WAS USING Bongoman,then sedon BUT NOW AND FOREVER IAM sedon_jr