Search found 42 matches

by nge
Sun Apr 29, 2007 5:21 pm
Forum: Swahili
Topic: FreeStyLe !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Replies: 14
Views: 5981

FreeStyLe !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

popote napita kwenye game nakita nikiwacheki majita naona wengi wananiita nasonga nao kilomita kumfuata barbarita ghafla roho inasita na moyo nao unatita naona kama ni vita vya tatu vya dunia,wanaokunywa damu hawana tofauti na bia,wanasifia utamu huku roho zao zinalia,naposema mwanadamu ni pamoja na...
by nge
Sat Apr 28, 2007 7:42 pm
Forum: Swahili
Topic: SITA WALISHA SUMU NIPATE KUWAHUKUMU
Replies: 9
Views: 8000

SITA WALISHA SUMU NIPATE KUWAHUKUMU

unaninyooshea kidole vitatu vinakutazama

kama inakuuma hukumu ki uhasama

ukiniona unanuna unatamani kuniua sana

utaki kunipa hey unabaki tu kuuchuna

pua yangu ilipo inaangalia chini

nipo tayari kufa ila sijui ni lini
by nge
Sat Apr 28, 2007 7:24 pm
Forum: Swahili
Topic: [b]TZII HIPHOP KING?[/b]
Replies: 34
Views: 11777

[b]TZII HIPHOP KING?[/b]

Ni kweli johmakini hastahili kuitwa king kwani hakuna jipya halolifanya kwenye game.Atabaki kama hiphop artist kiupande wa mashairi hana tofauti sana na Solo,zaharan au saigon wa zamani kwani saigon wa sasa kaisha.Ingawa hawezi kumfikia hashim dogo mi naamini bado ananafasi kama anahitaji kuitwa kin...
by nge
Sat Apr 28, 2007 7:01 pm
Forum: Swahili
Topic: FreeStyLe !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Replies: 14
Views: 5981

FreeStyLe !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

ni vigumu kuamini,ukweli unabaki akilini

mnajijua hajijui,mi ndo jibu hanijui

kama nabii nakuja kama chocheo

okoleo kwa mafukara wenye vyeo

huzuni bado akitanda

msikitini makanisani wakisubiri parapanda
by nge
Thu Feb 23, 2006 9:34 am
Forum: Swahili
Topic: intro
Replies: 35
Views: 25987

intro

naona dogo mkia umekufyata wenzio wananijua kiasi gani nilivyodata basi twende kimya kimya naona umekuwa mdogo ila usipojichunga nitakuja zaidi ya mbogo tena nitakuja kama tumbo lenye njaa lililokosa masikio na ndani yake ni kilio mi ndo shujaa niliyesahaulika a.k.a nyota mpweke ni sawa na fuko la h...
by nge
Thu Feb 23, 2006 9:33 am

Thu Feb 23, 2006 9:32 am

Tue Feb 07, 2006 4:54 pm
Forum: Swahili
Topic: intro
Replies: 35
Views: 25987

intro

ujio wangu

ni kama pain killer

ni kama vichwa ngumu

wanavyo mrespect hila

au masai pound na rap zao za kimila

aliyesema leo kwa heri

kesho huambiwa karibu

unanusa nusa ka mbwa

kwangu usijaribu

hili ni kama onyo

kwa ufupi nitakwaribu
by nge
Sun Feb 05, 2006 2:38 pm
Forum: Swahili
Topic: intro
Replies: 35
Views: 25987

intro

from last episode toka kwa fanani na inakwenda kwa adhira maproducer wananitamani mi nawakana kwa hasira wanakiri kipaji changu daima hihop ndo ajira nakuja kwako depressado na ku-kill huku nakufira kamuulize dada yako ananijua kama ndo dira anaponipa matako na namfira bila ya mpira sio kila jani uk...
by nge
Sun Jan 29, 2006 4:37 pm
Forum: Swahili
Topic: intro
Replies: 35
Views: 25987

intro

mchimba kisima sasa naingia mwenyewe duniani haijatokea kuku kukaa na mwewe napenda zaidi adui,adui ukawa ndo wewe unakula na kipofu,unamshika mkono umekosa cha kufanya,unakopa mademu ngono hujui unachokifanya,ndo maana papara na pupa kwa mgongo wachupa,eti unawapaka mafuta unachungulia kaburi depra...