Search found 28 matches

by mkuki
Fri Jul 17, 2009 3:27 pm
Forum: African Hip Hop Promos, Links & Free Downloads
Topic: New Dope Afrikan Street Klothing just dropped
Replies: 0
Views: 473

New Dope Afrikan Street Klothing just dropped

Peace Fam, Wanted to announce the opening of our online store http://www.kinaklothing.com Go checkout the finest street threads straight from the motherland. if you dig Kina add our fanpage ( http://www.facebook.com/pages/Kina-Klothing/101720604819 ) to your facebook profile and help spread the word...
by mkuki
Wed Oct 22, 2003 5:21 pm
Forum: African Hip Hop Promos, Links & Free Downloads
Topic: Website help
Replies: 2
Views: 1850

Website help

Ebwana we Illa Uko Bongo au?

Nicheki kwenye email kuhusu websites m k u k i @swbell.net (email haina spaces katikati ya hilo jina "mkuki" ila nimefanya hivyo kuzuga spammers)
by mkuki
Fri Sep 12, 2003 7:36 pm
Forum: Swahili
Topic: EAST COAST TEAM KWELI TUTAFIKA
Replies: 20
Views: 14254

EAST COAST TEAM KWELI TUTAFIKA

ODB hiyo mwanangu itatokea tu maana kila mahali ni hivyo hivyo tu promo zinaanzia kwenye redio na madj wa club na hapo ni kama unawajua au kuna kitu wanapata kutoka kwako...kuwa Rapper sio kuimba tu inahitaji ujue pia industry inapelekwa vipi? Na kwa bongo promotion kwa kiasi kikubwa inaendeshwa kwa...
by mkuki
Fri Sep 12, 2003 7:23 pm
Forum: Swahili
Topic: bongo illest mc
Replies: 14
Views: 8587

bongo illest mc

Nakupata HE.KI.MA shega tu...Mimi Dogo sio utani nakubali kuwa jamaa yuko fiti balaa na kina chake sio utani ni maji marefu...ila ndio hivyo ana track chache under his belt kit kinachofanya watu wawe wanamsahau lakini I am sure anajua anachokifanya. Nani mwingine mnadhani yuko kina pale Bongo? Mimi ...
by mkuki
Fri Sep 12, 2003 7:12 pm
Forum: Swahili
Topic: Ilikuwa vipi? Hiphop zamani (reprise - part 1)
Replies: 58
Views: 44354

Ilikuwa vipi? Hiphop zamani (reprise - part 1)

Kuna time moja Albamu ya kwanzanians ilikuwa inauzwa hapa kwenye africanhiphop.com long time fulani...labda J4 ana data zaidi...mimi mwenyewe naihitaji hiyo albamu...J4 inakuwaje?

Yeah Bugsy alikuwa noma hata mimi najiuliza huyu jamaa kaishia wapi? kuna mwenye data zozote?
by mkuki
Fri Sep 05, 2003 6:14 pm
Forum: Swahili
Topic: bongo illest mc
Replies: 14
Views: 8587

bongo illest mc

Hekima mimi natofautian na wewe kidogo kwa hilo swala la lugha...mimi kwa mtazamo wangu sidhani kama lugha ni factor ya kuwa kina labda useme kuwa watu wengi hawajui kiswahili vizuri ndio iwafanye wasiwe deep zaidi (tukichukua argument yako ya lugha kuwa factor) mimi nadhani mtu kuwa kina ni product...
by mkuki
Fri Jun 27, 2003 2:11 am
Forum: African Hip Hop Discussion
Topic: Congratulations to X-plastas
Replies: 2
Views: 1399

Congratulations to X-plastas

Yeah No Doubt XPS are holding it down like that, keep doing what ya'll doing big up!

By the way ya'll need to donate a lil something for the brothers they need our help...read the article on the main page titled "Fruityloops feeding the local scene, Pentium-I breakdown"

Amani
by mkuki
Tue Jun 24, 2003 8:26 am
Forum: African Hip Hop Discussion
Topic: Apart from HipHop what does everyone listen to?
Replies: 8
Views: 2866

Apart from HipHop what does everyone listen to?

I hear you horse...even I listen to mostly anything although I has to have some soul in it meaning that even if its in another language that I don't understand I can steal feel the artist!

Anyway I was wondering what artists you listen to though!
by mkuki
Sat Jun 21, 2003 9:17 pm
Forum: African Hip Hop Discussion
Topic: where is everyone from?
Replies: 18
Views: 5440

where is everyone from?

Born and Raised in Tanzania until 19 yrs of age then moved to Houston, Texas for college, currently in Houston...after I'm done here I'll be back in Bongo (Tanzania)
by mkuki
Sat Jun 21, 2003 9:13 pm
Forum: African Hip Hop Discussion
Topic: Apart from HipHop what does everyone listen to?
Replies: 8
Views: 2866

Apart from HipHop what does everyone listen to?

What the deal brethrens and sistrens I know all of us listen to hiphop otherwise we wouldn't have been visiting this site. [On a Scale of 1 - 10] I was just curious what other types of music do ya'll listen to apart from hiphop? Also name your favorite artists from those genres if possible! I listen...