Search found 1 match

by HollyMe
Wed Nov 07, 2001 4:47 am
Forum: Swahili
Topic: waafrika tuna style?
Replies: 48
Views: 26023

waafrika tuna style?

sawa sawa kabisa. Na sio kusuka tuu, mimi ninambonge wa afro, nilianza kuutunza tangu nina 15. basi siku moja mateacher wakanilia njuga wanataka niutembeze mbele nibaki na unga. Mshikaji nikatia numu basi wakaja na mikasi, nikauvunja wa kwanza wakanipiga mkwara watanifukuza skuli, ikabidi ninyong'on...